kumetia fora sana kwa mkubwa wa umati katika vituo vidogo vya mikutano ya kampeni za Chama tawala CCM
hii wakati akianza kampeni yake mkoa wa Mbeya.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana JK kwa kufika Mbeya , mkoa ambo traditionally ni mkoa wa CCM.
ReplyDeleteUchaguzi wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge umeonyesha kuwa watu wa Mbeya ni wamoja tena kwa sana tuategemea CCM itatilia mkazo maoni ya wananchi wa mkoa huu kwa ajili ya maendeleo.
Duuh hii kweli blog ya Chama!
ReplyDeleteCCM Lazima tushinde tena by landslide! CCM Oyee!!!
ReplyDeleteMichuzi mbona hautuwekei picha/habari za vyama vingine bwana? Ama vyama vingine vimekaa tu na havifanyi kampeni zozote? Usiibanie hii comment. Ukiibana ntajua unagopa kuambiwa ukweli. Ha ha ha!!!!!
ReplyDeletekwa mwendo huu ccm lazima washinde uko vijijini awajuhi chama kingine zaidi ya ccm na zani !
ReplyDeleteNdio uzuri wa waTZ. THEY ARE NOT INFORMED. Wao wanajua ccm tu. hawana habari kuwa kuna vyama vingine. Hasa wananchi wa vijijini, na ndio huko kuna watu wengi ambao hata hawatambuliki kuwa waTZ . Wakati ushindi wa ccm unachangiwa sana na watu hao lakini bado hawathaminiwi. Umaskini uliokithiri wao, ujinga wao, magonjwa wao n.k. CCM tunaipenda imetulea ktk kila aina ya welevu, ujinga n.k. lakini kumbukeni wapiga kura.
ReplyDeletebinadamu wengine hamuishi ulalamishi,kutwa kukosoa wenzenu haya we unaesema blog ya chama hujaona picha za cuf acha mambo yako wewe,kama huna chakucoment potezea basi sio tu ilimradi uandike tu
ReplyDeleteushindi lazima 2010 picha zinajieleza wapinzani kuleni viwembe
ReplyDeleteUkiangalia hapo juu na kuona watu walivyolundikana ni ajali tu inasubiri kutokea,Inashangaza sana vyombo husika vya usalama vinashindwa kuangalia hali kama hiyo.Uhabiki sawa na usalama wa raia ni mhimi zaidi.kwani hata viongozi wetu ambao wanautubia wanaweza kuona hilo na kuhakikisha usalama unafanyika kabla mkutano haujaanza.Inasikitisha sana bado nchi yetu haina Health and safety ya kutumia common sense tu sio lazima tuwe na vifaa
ReplyDeleteMjusi