JK akihutubia jioni hii mjini Tunduma ambako
kumetia fora sana kwa mkubwa wa umati katika vituo vidogo vya mikutano ya kampeni za Chama tawala CCM
JK akihutubia umati wa wakazi wa Tunduma jioni
hii wakati akianza kampeni yake mkoa wa Mbeya.
Uwanja wa mkutano Tunduma ulikuwa hautoshi

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya akimfagilia njia JK ya kuhutubia wananchi wa Tunduma leo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongera sana JK kwa kufika Mbeya , mkoa ambo traditionally ni mkoa wa CCM.
    Uchaguzi wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge umeonyesha kuwa watu wa Mbeya ni wamoja tena kwa sana tuategemea CCM itatilia mkazo maoni ya wananchi wa mkoa huu kwa ajili ya maendeleo.

    ReplyDelete
  2. Duuh hii kweli blog ya Chama!

    ReplyDelete
  3. CCM Lazima tushinde tena by landslide! CCM Oyee!!!

    ReplyDelete
  4. Michuzi mbona hautuwekei picha/habari za vyama vingine bwana? Ama vyama vingine vimekaa tu na havifanyi kampeni zozote? Usiibanie hii comment. Ukiibana ntajua unagopa kuambiwa ukweli. Ha ha ha!!!!!

    ReplyDelete
  5. kwa mwendo huu ccm lazima washinde uko vijijini awajuhi chama kingine zaidi ya ccm na zani !

    ReplyDelete
  6. Ndio uzuri wa waTZ. THEY ARE NOT INFORMED. Wao wanajua ccm tu. hawana habari kuwa kuna vyama vingine. Hasa wananchi wa vijijini, na ndio huko kuna watu wengi ambao hata hawatambuliki kuwa waTZ . Wakati ushindi wa ccm unachangiwa sana na watu hao lakini bado hawathaminiwi. Umaskini uliokithiri wao, ujinga wao, magonjwa wao n.k. CCM tunaipenda imetulea ktk kila aina ya welevu, ujinga n.k. lakini kumbukeni wapiga kura.

    ReplyDelete
  7. binadamu wengine hamuishi ulalamishi,kutwa kukosoa wenzenu haya we unaesema blog ya chama hujaona picha za cuf acha mambo yako wewe,kama huna chakucoment potezea basi sio tu ilimradi uandike tu

    ReplyDelete
  8. ushindi lazima 2010 picha zinajieleza wapinzani kuleni viwembe

    ReplyDelete
  9. Ukiangalia hapo juu na kuona watu walivyolundikana ni ajali tu inasubiri kutokea,Inashangaza sana vyombo husika vya usalama vinashindwa kuangalia hali kama hiyo.Uhabiki sawa na usalama wa raia ni mhimi zaidi.kwani hata viongozi wetu ambao wanautubia wanaweza kuona hilo na kuhakikisha usalama unafanyika kabla mkutano haujaanza.Inasikitisha sana bado nchi yetu haina Health and safety ya kutumia common sense tu sio lazima tuwe na vifaa

    Mjusi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...