JK akihutubia wananchi walohudhuria kilele cha sherehe za Wakulima,
Nanenane, mjini Dodoma leo mchana
Katibu Mkuu wa wizara ya Afya Blandina Nyoni akipokea kombe la ushindi wa jumla(overall winner) kutoka kwa JK baada ya banda la Wizara ya Afya kuibuka mshindi kwa kutoa huduma Bora wakati wa maonyesho ya kilimo yaliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni
JK akimkabidhi zawadi ya trekta Mkulima Martin Mlimila baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika safu ya wakulima bora wakati wa kilele cha sikukuu ta Wakulima Nanenane iliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma.
JK akiangalia kiazi kikuu na mazao mengine yaliyolimwa kwa ubora kutoka banda la Iramba, Singida wakati alipopita kukagua mazao na bidhaa mbalimbali za kilimo katika viwanja vya Nzuguni,mjini Dodoma wakati wa kilele cha siku ya wakulima nchini.
Picha zote na mdau Freddy Maro wa Ikulu





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hivi Dodoma kuna Snow (Theluji) siku hizi? Mbona hiyo picha ya kwanza hapo naon JK akihutubia watu waliosimama kwenye snow?

    ReplyDelete
  2. kwani lazima sikukuu za kitaifa watu wavae ki ccm? au ni kujipendekeza tuu?

    ReplyDelete
  3. Peter Wassira !!!! Hilo pozi !!!!

    ReplyDelete
  4. aah jk wee naona mzee mzima umeshikiria futari ya kiazi kaka,kila la kheri katika swaum japo sielewi kama wewe unaufuata mwezi wa saudia au nawewe ni katika wale wanaosubiri mpaka watangaziwe umeonekana bagamoyo ama chalinze

    ReplyDelete
  5. huduma bora maonyeshoni..........

    ReplyDelete
  6. suti na kofia???? mmmh koti lingevuliwa lile manake JK ni wa nguvu hahitaji suti kila saa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...