Viongozi wa mkutano wa 49 wa mkutano wa Umoja wa Mashauriano ya sheria kwa nchi za Asia na Afrika wakiongozwa na Rais wa mkutano huo Waziri wa Sheria na Katiba wa Tanzania Mathias Chikawe (wa pili kulia) kufuatilia Michango mbalimbali kutoka kwa wajumbe wa nchi wanachama wanaoshiriki mkutano huo (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unaomalizika leo jijini Dar es salaam umehudhuriwa na nchi 30.
Washiriki wa Mkutano wa 49 wa Umoja wa Mashauriano ya sheria kwa nchi za Asia na Afrika (AALCO) kutoka Tanzania wakiongozwa na Mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Fredrick Werema wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mkutano huko leo jijini Dar es salaam.
Wajumbe wa mkutano wa 49 wa Umoja wa Mashauriano ya sheria kwa nchi za Asia na Afrika (AALCO) kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na Asia wakichangia masuala mbalimbali wakati wa mkutano huo unaomalizika leo jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...