Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Temeke, baada ya kuikabidhi shule hiyo msaada wa madawati 140 yenye thamani ya shilingi milioni 10, msaada huo ni mwendelezo wa msaada wa vyumba vya madarasa vitatu vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vilivyokabidhiwa na mfuko huo kwa shule hiyo mwaka jana, , makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule (Kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Temeke, Eutrophia Tarimo, msaada wa madawati 140 yenye thamani ya shilingi milioni 10, msaada huo ni mwendelezo wa msaada wa vyumba vya madarasa vitatu vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vilivyokabidhiwa na mfuko huo kwa shule hiyo mwaka jana, , makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...