Home
Unlabelled
libeneke jipya la trinity pro-motions
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Trinity kwenye dini yetu maana yake ni Utatu Mtakatifu. Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
ReplyDeleteSasa hapa inakaaje?
HONGERA SANA BI SAUDA KWA MIZIKI YAKO HII IMEONYESHA KIWANGO CHAKO NI CHA KIMATAIFA... TANZANIA INATAKIWA IWE NA WASANII KAMA NYINYI ILI KUUTANAGZA MUZIKI WETU NJE YA MIPAKA,SAUTI YAKO NI KAMA MAMA AFRIKA HAYATI MIRIAM MAKEBA,MUZIKI WAKO NIWA KIMATAIFA(WORLD MUSIC)
ReplyDeleteSauda kuamka leo asubuhi na kusikia sauti na nyimbo zako imefanya jumatatu yangu iwe njema sana, huku mbali sana na nyumbani, marekani ukisikia sauti za wasanii kama nyinyi inapendaza sana well done
ReplyDeleteDADA HUYU NASAUTI NZURI YOU WONT BELIEVE BIG UP DADA
ReplyDeleteKWAKWELI HUYU SAUDA ANA SAUTI NIZURI SANA. MICHUZI HIKI KITU UMETULETEA NI KIZURI SANA. HONGERA SANA SAUDA MUNGU AKUZIDISHIE. YOU MAKE US PROUD SISI WANAWAKE WA KITANZANIA.
ReplyDelete