Hamjambo,
Kwa majina ni Denzel Musumba mwanzilishi na mtangazaji katika kituo cha east africa radio usa ambayo hutanganza kila siku kwa masaa matatu kutoka Las vegas, na New York nchini marekani.

Yangu nikuwaomba kuisikiliza kituo chetu tukitangaza kwa lugha ya kiswahili na kingereza haswa kueneza ujumbe kwa marafiki ya jamaa.
Kusikiliza kwa tovuti:
www.blogtalkradio.com/denzel-musumba
Kupata kipindi kwa simu piga 1 347 857 1206
Kwa skype denzel.musumba au east.africa.africa.usa
Tovuti yetu:
www.eastafricaradiousa.com
Kwa maoni piga au kutangaza nasi au mahojiano.
1 347 666 2850

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. michuzi mbona unaacha habari nyingine zinatoka kwenye magazeti na blog nyingine lakini humu unaminyia?
    habari za peter rupia was given 3years and 3months prison sentenced in arusha juzi tarehe 10/08/2010 kwa kosa ambalo hakulifanya haki haikutendeka, he ukweli unajulikana na wengi kwamba ni fitna tuu, ya kibiashara wameamua kumkomoa kijana wa watu. sio siri max kafipa alipewa simu zile arudishe kwa dada yake, hakurudisha badala yake he gave to his wife and sold the rest. he admitted this to some of friends we know, max alidai kuwa hakupewa commission ya udalali alioufanya kwa dili aliyompatia, ndio akaamua kuzuia simu kama fidia yake na ndio urafiki ukaisha, akajidai kwa dada yake kuwa peter hakumpa simu ambazo zilikuwa mbovu amrudishie, kwa hiyo dada yake max wa arusha(rose)akamfungulika mashtaka hayo.
    tunaomba utoe maoni haya katika blog yako hii ya heshima ili watu wasiojua ukweli waanze kujua ukweli.
    watu wengi wako jela maskini kwa makosa ambayo hawajafanya.
    its always like this when the truth comes out its always too late.
    inasikitisha sana.

    ReplyDelete
  2. PETER RUPIA NA MAMBO YAKE YA UFUKSA WOTE LAKINI BWANA HAKI MTENDEENI, MAXI KAFIPA MUNGU ANAKUONA KAKA UKWELI UNAJULIKANA SIMU ULIRUDISHIWA ZOTE UKAMGEA MKEO NA KUUZA NYINGINE, NI DILI ULIYOFANYA NA MZEE SELE MKADAI PETER ALIWAZULUMU DOLA ELFU NNE KAMA ALIVYONENA MUUNGWANA JUU HAPO. NDIO UKAAMUA KUZIMA SIMU NAWEWE. KUA NA IMANI RUDISHA MOYO NA USEME UKWELI, MTOTO WA WATU YUPO LUPANGO BURE, UNALIZA WAZAZI NA WATOTO WAKE, HIVI UNALALAJE USIKU WEYE? UNAPATA USINGIZI KWELI WAKATI UNAJUA ULILOTENDA? NAJUA HUKUTEGEMEA PETER RUPIA ATAFUNGWA ULIZANI MZAHA TU, NA HATA UMEWAMBIA BAAZI YA RAFIKI ZAKO KUWA UNAJISIKIA VIBAYA. BASI FANYA UUNGWANA KASEME UKWELI SASA, MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU KAKA. KAMA HUMFIKIRII YEYE FIKIRIA WATOTO WAKE NA WAZAZI WAKE, AMBAYE UMEMZALILISHA MZEE RUPIA UMESHASOMA MAGAZETI YA JANA SIO PETER PEKEE, WAMEMNUKUU NA MZEE WAKE VIBAYA MAGAZETINI. KUWA NA UTU KAKA MAXI NA MUNGU ATAKUSAMEHE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...