Home
Unlabelled
maalim seif na wengine wachukua fomu leo tayari kugombea urais
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nasikia sauti mtoto analia vipi kuna kituo cha watoto katika studio za TBC au ni macho yangu tu hayasikii vitu na masikio hayaoni vyema.... haya...
ReplyDeleteTUNASHUKURU ANKAL KWA KUANIKA HAYO MAJINA .........ILA DUH.....YAMEJAA AKINA YAKHE TU, INATOKEA TU AU NI SERA YA CHAMA?
ReplyDeleteCUF NA WENZIWE NI VYAMA VYA MSIMU WA UCHAGUZI SI VYAMA ENDELEVU NDO MAANA VITAKAA VISISHINDE NG'OOOOOOOOOOOOO. THEY AFTER POWER FOR THEMSELVES
ReplyDeletenyie hamna mpango kabisa mnokandia cuf Sasa mnalia nini maisha magumu,maji umeme na ufisadi? HEBU TUWAPE NAFASI MSIHUKUMU TU KWA COVER LA DAFTARI.WANANCHI WA ZANZIBAR WAMECHOKA MAMA ZETU WANAVOTAABIKA SISI NDIO TUNAJUA NA NDIO MAANA TUNATAKA MAGEUZI-NCHI NYINGI TU ZIMEBADILIKA UK,GREECE KENYA NK TANZANIA HADI LINI? HEBU TUTOE UPUMBAVU
ReplyDelete