Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nasikia sauti mtoto analia vipi kuna kituo cha watoto katika studio za TBC au ni macho yangu tu hayasikii vitu na masikio hayaoni vyema.... haya...

    ReplyDelete
  2. TUNASHUKURU ANKAL KWA KUANIKA HAYO MAJINA .........ILA DUH.....YAMEJAA AKINA YAKHE TU, INATOKEA TU AU NI SERA YA CHAMA?

    ReplyDelete
  3. CUF NA WENZIWE NI VYAMA VYA MSIMU WA UCHAGUZI SI VYAMA ENDELEVU NDO MAANA VITAKAA VISISHINDE NG'OOOOOOOOOOOOO. THEY AFTER POWER FOR THEMSELVES

    ReplyDelete
  4. nyie hamna mpango kabisa mnokandia cuf Sasa mnalia nini maisha magumu,maji umeme na ufisadi? HEBU TUWAPE NAFASI MSIHUKUMU TU KWA COVER LA DAFTARI.WANANCHI WA ZANZIBAR WAMECHOKA MAMA ZETU WANAVOTAABIKA SISI NDIO TUNAJUA NA NDIO MAANA TUNATAKA MAGEUZI-NCHI NYINGI TU ZIMEBADILIKA UK,GREECE KENYA NK TANZANIA HADI LINI? HEBU TUTOE UPUMBAVU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...