Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Ah, jamani! Watukumbusha mbaaaali saaaana!

    Mapenzi yanitesaaaa!

    Hiyo, na ile nyingine sijui ya nani ile, inaenda kama hivi,

    Rozi waua, Rozi waua,
    Jinsi ulivyoumbika suraaaa,
    Rozi waua, Rozi waua,
    Mwenzio nakuzimia sanaaa

    Yaani! Weeee acha tuuuu!

    ReplyDelete
  2. thank youu mdau uliyeshusha hii mambo, nyimbo tamu sanaaa, michuzi wanitesaaa moyoooniiii... tirii ti ti ti tiii riiii

    ReplyDelete
  3. Mie yanitesa hata sasa, gwiji aliona mbali.

    ReplyDelete
  4. Du Ankal yaani umenirudisha mbaaali nikiwa mtoto mdogo miaka ya mwishoni ya 1978-79 , ktk hii posti nimekuta nyimbo ambazo ni:
    Mapenzi Ya Nitesa
    Dawa Ya Mapenzi
    Kifo Cha Pesa

    Mdau
    Ughaibuni.

    ReplyDelete
  5. RIP mwinshehe na ahsante kwa rudani uliyotupa ktk muda mfupi uliokaa duniani. wengu wetu tumezaliwa wakati ymshaondoka duniani ila tumekujua kwenye tungo zako nzuri. NI wewe Mbaraka Mwinshehe, Marijani Rajabu, Tx moshi William na Hemed Maneti ndio MAJABALI NA NGULI wa muziki wa Tanzania. Ahsanteni kwa burudani tamu mliyotupa enzi za uhai wenu.

    ReplyDelete
  6. Mohammed SultanAugust 15, 2010

    Nakumbuka alipopita shuleni SAME SEC. akielekea KENYA akatumbuiza ile mmbaya nakuahidi akirudi atapitia tena lakini akh BINADAMU hafahamu siku yake ya MWISHO kumbe anaenda kukifuata KIFO.Mjukuu wa Mzee Sultan (OHIO-USA).

    ReplyDelete
  7. Ahsante ahsante hao ndio magwiji wa mziki Tanzania bwana. hao ndio wanaojua mziki. Tuletee Hemed maneti basi. hasa maria eeeh, au bunjumbura ya burundi.

    ReplyDelete
  8. AHSANTE SANA MDAU ULOTUMA WIMBO HUU. UMENIKUMBUSHA MBALI SANA NDUGU YANGU. INANIKUMBUSHA MIAKA YA 70 WAKATI NASOMA SHULE YA MSINGI KAMUNYONGE MUSOMA (1977-80s).DAH, NIMEWAKUMBUKA SANA WASHIKAJI ZANGU ENZI HIZO. HAKIKA MACHOZI YANANILENGALENGA. MAISHA YALIKUWA SWAFI SANA BYTHEN.
    RIP MBARAKA MWINSHEHE.

    MDAU UGHAIBUNI.

    ReplyDelete
  9. Ahsante sana Mithupu kwa kutuletea na kutukumbusha huyu soloist vocalist maestro Mbaraka Mwinshehe.BINAFSI niliingia muziki wake 1972 nikiwa mwanafunzi , tena buree, baada ya kutuona wanafunzi tukimchungulia madirishani pale social hall, Kibaha.
    Yeye mwenyewe akaomba waalimu waturuhusu tuingie tumsikilize kwa nyimbo mbili.Lakini akaishia kutupigia karibu nyimbo 10 nasi tukaridhika kabisa na kwenda kulala.
    Kitendo hiki kinanikumbusha sana upendo kwa vijana kwa gwiji huyu wa miziki.
    Ni wanamuziki wachachche sana walioweza kufikia upeo wake katika muziki.

    ReplyDelete
  10. Mkuu umenikumbusha mbali sana. Huyu jamaa alikuwa moto wa kuotea mbali. Sijui kama angekuwepo mpaka leo mambo yangekuaje. Lakini vizuri havidumu. Kuna vingine ambavyo mimi hiniacha hoi kama "hakuna dawa ya mapenzi"
    http://www.youtube.com/watch?v=-NOKkLco5TM&playnext_from=QL&feature=bf_play&playnext=1

    RIP Mbaraka

    Mdau Mbezi Louis

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...