Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Clement Mshana akiongea na Maofisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wizara,Idara zinazojitegemea na wakala wa serikali leo jijini Dar es salaam.Pamoja na mambo mengine amewatoa wito kwa Maofisa hao kushiriki kikamilifu kutoa habari zinazohusu utendaji wa serikali kwa wananchi.
Maafisa habari wakifuatilia kwa makini mkutano huo.
Baadhi ya Maofisa habari ,Elimu na Mawasiliano wa Wizara,Idara zinazojitegemea na wakala wa serikali wakifuatilia masuala mbalimbali leo jijini Dar es salaam wakati Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MELEZO), Bw. Clement Mshana alipokutana nao.

(Picha na Mdau Aron Msigwa)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MICHUZI NISAIDIE KITU KIMOJA. HIVI HAWA MAOFISA HABARI HUWA WANAFANYA KAZI GANI? MIMI NI MWANDISHI WA HABARI NA KILA MARA NIKIWASLIANA NA HAWA WATU HUWA HUWA SIPATI MSAADA WAO KATIKA KUTAFUTA HABARI MAENEO WANAYOFANYIA KAZI. THEY ARE GOOD FOR NOTHING NA THEY ARE JUST LIABILITIES - NAWASILISHA

    ReplyDelete
  2. wapo ambao wana hayo matatizo uliyoyasema wengine wanafanya kazi vizuri na kwa ufanisi na wewe kama mwandishi umefanya nini kupambana na hili tatizo au unalalamika tu...nawasilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...