MAREHEMU SEIF RAMADHAN ATHUMAN
JUMUIYA YA WATANZANIA UNITED ARAB EMIRATES INASIKITIKA KUWAARIFU MSIBA WA NDUGU YETU BW. SEIF RAMADHAN ATHUMAN, MKAZI WA ILALA QUARTERS DAR ES SALAAM KILICHOTEKEA TAREHE 6 AGOSTI 2010 DUBAI UAE.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA BAADA YA KUKAMILIKA KWA TARATIBU ZA KISERIKALI NA KUPATIKANA MWILI WA MAREHEMU, TAARIFA YA MAZISHI ITATOLEWA BAADAE
MAZISHI YATAFANYIKA KWENYE MAKABURI YA AL QUOZ
ISSA MAJID MAGGIDI
NAIBU KATIBU JUMUIYA YA WATANZANIA UAE

I L W I I R, poleni sana na tuko pamoja jee Huyu seif amewahi kuishi Uholanzi ama nimefananisha?
ReplyDeleteINNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAJIUN
ReplyDeleteINNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAAJIUN,huyu bwana alikuwa akiishi ujerumani katika mji wa Hameln.
ReplyDeleteAmefia wapi kiasi kwamba mwili haujapatikana? Baharini?
ReplyDeleteseif ramadhan halikuwa rafiki yangu sana,na mungu mahalipema
ReplyDeleteInna lillahi waina ilaihi rajiun
ReplyDeleteHuyu jamaa aliishi Ujerumani na aliishi na Uholanzi pia alipofika dubai pia alitokea uholanzi....dubai hajafikisha hata mwaka tangu afike....Alikufa majira ya jioni akiwa amelala, ina aminika ni pombe ndo zilizosababisha kifo chake....Polisi wamezuia maiti yake kwasabab alikuwa anatumia passport yenye jina la Kikristo, kwahiyo wakat anataka kuzikwa kikristo watanzanai ndo wakasema kuwa ni muislam wakaambiwa wathibitishe kwa documents...sasa ndo zimeagizwa documents toka tanzania na kuthibitishwa na serikali ya bongo...zikipatikana hizo karatasi watu watapewa mwili mwa marehemu kwa ajili ya mazishi....INALILAH WAINAILAH RAJIUUUN.
ReplyDelete