Ndugu Khalfani Abdullah El Mamry Wa Milton Keynes, Uingereza anapenda kuwatangazia ndugu, jamaa na marafiki msiba wa Mtoto wake Hilaly khalfani El Maamry (8) kilichotokea usiku wa tarehe 8/8/2010 huko Tanzania akiwa likizoni.

Kwa Watanzania na marafiki wa Khalifani waishio Uingereza msiba upo 246 Farthing Grove, Netherfield, Milton Keynes, United Kingdom.

Kwa Waishio Tanzania msiba upo Mtaa wa Narung`ombe 77 Kariakoo. Kwa maelezo zaidi Wasaliana na Diego kwenye namba 07733 318081.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mdau hii namba ya simu 07733 318081 ina walakini jaribu kuiweka sawa ili wadau watoe pole zao.

    Poleni kwa msiba wazazi na wanafamilia wote. Mungu ni mwema siku zote na kazi yake haina makosa.

    ReplyDelete
  2. Assalaam Alaykum,

    Pole sana ndugu yangu, I lost my daughter in June 5th, I know how painful it is to lose a child, and I understand the pain you are feeling at this moment, All what I can say is POLE !!!! INNA LILLAH WAINNA ILAIHI RAAJIUU'N.....Na tukumbuke kuwa Every soul has a purpose in this world... Wassalaam

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wanafamilia. Kumpoteza mtoto tena mkiwa kwenye likizo ni jambo la kusikitisha mno. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...