
Msanii wa muziki kutoka nchini Ivory Coast ambaye anatamba sana na wimbo wake wa aladji aladji,Jeff Dogolobango akishiriki kwenye kampeni ya usafi kwa kupaka rangi kwenye ukuta wa moja ya majengo ya hospitali ya Mwananyamala jijini Dar leo.

Msanii Jeff Dogolobango akiwa na densa wake wawili mara baada ya kumaliza kupaka rangi katika majengo ya hospitali ya Mwananyamala leo.Msanii huyu yuko hapa nchini kwa ajili ya shoo babkukwa ya fiesta jipanguse itakayofanyika kesho katika viwanja vya lidaz klabu.
kwa picha zaidi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...