Habari ambazo Globu ya Jamii imezipata sasa hivi ni kwamba Mh. John Mnyika anachukua fomu za kuingia rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha ubunge jimbo la Ubungo leo saa sita kamili mchana kwenye ofisi za manispaa ya Konondoni jijini Dar. Habari za karibu na Bw. Mnyika zinasema kuwa baada ya kuchukua fomu ataongea na waandishi wa habari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Fomu ingechukuliwa na John Mashaka globu ya jamii inge shut down kwa volume ya hits.

    (Dr.US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...