MKURUGENZI Mtendaji wa benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) vifaa mbalimbali vya kujifunzia pamoja na vifaa vya michezo vikiwa na thamani ya sh. milioni 36 vilivyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika shule ya msingi Temeke. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Elimu Maalum Manispaa ya Temeke, George Vahaye.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. badilisha heading, ni NBC sio NMB

    ReplyDelete
  2. Haaaaaa! hayo yako ni makengeza au? Kila kitu NBC hiyo NMB imetoka wapi? Kaza macho baba....ah! sorry mama!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...