MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM,DK. ALI MOHAMED SHEIN, AKIPATA MAELEZO JUU YA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA INAYOTOKA WETE HADI GANDO MKOA WA KASKAZINI PEMBA KUTOKA KWA MKANDARASI WA BARABARA HIYO, WAKATI ALIPOFANYA ZIARA FUPI KUANGALIAMAENDELEO YA UJENZI HUO LEO.
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM, DK. ALI MOHAMED SHEIN, AKIPATA FUTARI PAMOJA NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA, ALIYOIYANDAA KWA AJILI YA WANANCHI WA MKOA HUO HUKO IKULU WETE PEMBA JANA.
MKE WA MAKAMU WA RAIS NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM, MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AKIHUTUBIA WANACHAMA WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE UWT PAMOJA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA UMOJA NI NGUVU MKOANI PEMBA LEO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hebu naomba mnieleweshe manake naona kama sielewi vile. Naona raisi anamtu mwingine anasema ni mgombea mwenza. Je huyo sindio makamu wa raisi au? na huyu naye naona ni makamu wa raisi. Sasa nakua nachanganyikiwa...

    Wamebadilisha siku hizi?
    Nakumbuka tulivyokua tunakua ilikua raisi na makamu wa raisi ambayo ilikua mmoja akitika bara mwingine visiwani...Halafu waziri mkuu na makamu wa waziri mkuu

    Lakini siku hizi hata sielewi kuna makamu wa raisi wawili? naona wanasema mgombea mwenza wa raisi, na pia siku hizi kuna makatibu wakuu katika kila wizara na naibu makatibu wakuu...Naomba mnieleze kazi ya katibu mkuu ni nini na naibu katibu ni ipi?
    Thanks???

    ReplyDelete
  2. Nashukuru kwa kuuliza bila kuanza kuanza kutwambia hurudi nyumbani na tunajua watanzania wengine mmekuwa mbali na nyumbani kwaababu ambazo ziko mbali na uwezo wenu mojawapo kujifanya wakimbizi, Kwanza kazi ya katibu mkuu ni mtaalamu aliyeajiliwa na serikali katika wizara husika huyu siyo mwanasiasa kama waziri na kazi ya naibu katibu mkuu naye vile kama katibu mkuu lakini huyu haudhurii vikao vya baraza la mawaziri ila atafanyakazi kama katibu mkuu ikiwa katibu hayupo na kumsaidia katibu mkuu kwani wizara ni kubwa mno.
    Mdau Uk

    ReplyDelete
  3. Sijaona mmtundiko wangu wa kukaa chini na kupaaza sauti, katika hali halisi ya mazingira yetu na miktadha ya sasa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...