Ankal naomba msaada wako! Kuna pochi yenye nyaraka muhimu za ESTHER IBRAHIM SHEDAFA imeokotwa usiku wa tarehe 29 Agost 2010 maeneo ya Sinza Mori na kondakta wa daladala iendayo Sinza/Kariakoo ikiwa na nyaraka kama kadi ya benki, kadi ya hospitali na vyeti vyake muhimu. Kwa yoyote anayemfahamu mtu huyo awasiliane nasi.
tuwasiliane kupitia email najuawajua@yahoo.com
Kwa taarifa zaidi tembelea www.unajuahii.blogspot.com
tuwasiliane kupitia email najuawajua@yahoo.com
Kwa taarifa zaidi tembelea www.unajuahii.blogspot.com
Nakushukuru sana kwa kumtafuta mtu aliyepotelkewa na hiyo pochi. Mungu akubariki wewe ni mfano bora wa kuigwa na Watanzania wote. Nadhani bi Shedafa atafurahi kupata hizi nyaraka zake. Mungu akuzidishie moyo wa Imani.
ReplyDeletenani alisema malaika wako mbinguni?ankal huyu bwana tunaomba taswira yake anatakiwa front page ni mfano wa kuigwa.please. mfikishie salamu zetu
ReplyDeleteNi nani huyu, Mungu aendelee kuibariki roho yake
ReplyDelete