Lori lililobeba tumbaku likiwa limepinduka nje kidogo toka kijiji cha Laela, Sumbawanga, mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa wafanyakazi katika lori hilo ajali imetokea baada ya kutaka kupishana na basi la abiria, hivyo kuserereka na kuanguka kiasi siku kadhaa zilizopita ambapo wapo hapo wakisubiri kuinuliwa. bahati hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia. Ishukuriwe kuwa ujenzi wa barabara hiyo ambayo ni nyembamba umeanza na mambo yatakuwa mswano karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...