Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Ndugu wapenzi,
Tunawaombea kheri nyingi na Ramadhaan njema itakayokuwa Maqbuul na dhambi za kughufuriwa Inshaa-Allaah.
Kadhaalika tunapenda kuwajulisha kuwa tumeanzisha tovuti mpya ya Kiislam http://www.mawaidha.tk ,
ambayo itakuwa na mambo mengi mbalimbali ya kusoma na kusikiliza yanayohusu Uislam wetu Insha'Allah, tukitumai kwamba mtafaidika nayo; muweze kubakia katika hali ya Iymaan na Ucha Mungu daima.
Pia mnufaike nayo na muweze kuchuma thawabu nyingi kwa kuyafanyia kazi yale yote mnayojifunza Mwenyezi Mungu atughufirie madhambi yetu... pamoja na sisi sote. Tunawomba msitutasahau kwa du'aa zenu.
Administrator,
RafikiChat sent you this message.
To visit the group: http://grou.ps/rafikichat

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...