Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Dk. Edward Hosea
SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI
Kwa nini Sheria ya Gharama za Uchaguzi imetungwa?

(a) Kuthibiti matumizi mabaya ya fedha katika shughuli za Uchaguzi
(b) Kuona mtindo wa matumizi mabaya ya fedha katika Uchaguzi kuwa ni utamaduni wetu.
(c) Kuzuia uongozi kugeuzwa kuwa ni kitu cha kununuliwa
(d) Kuzuia wapigakura kuchuuza kura zao kwa wagombea
MISINGI YA SHERIA
(a) Uteuzi ndani ya vyama.
(b) Uwazi wa mapato na matumizi
(c) Uwazi wa michango.
Ili kusoma sheria kamili nenda michuzipost
BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. waliokamatwa kwa tuhuma za kutoa rushwa ni wengi sana sasa hosea inakuaje mwakalebela na mungai tu ndio wafikishwe mahakamani? vipi mkono na idd azan si nao waliripotiwa na takukuru kwamba wana tuhuma za kutoa rushwa? taarifa hizi zilitolewa na takukuru kwenye vyombo karibu vyote vya habari sasa iweje hawajafikishwa mahakamani?

    ReplyDelete
  2. changa la macho pole mwakalebela, hongera chenge na mramba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...