AY

Kwa mwaka huu AY alianza kunyakua tuzo ya Chaguo la Teneez ya Kenya,Kili Awards ya Tanzania na Museke Awards ya Ghana.Mwaka huu ni moto chini sidhani kama kuna artists wa bongo aliyekuwa nominee kwa awards za nchi tofauti na kushinda Tuzo..

Sasa amechaguliwa katika final za Tuzo za Ufaransa za RADIO FRANCE INTERNATIONALE DISCOVERIES AWARD 2010 {Rfi Prix Découvertes 2010} zitazofanyika September,ndani ya Paris.

AY anawaomba watanzania wote kumpigia kura za kutosha aweze/tuweze kushinda tuzo hizo.Unaweza kuvote kupitia

www.rfimusique.com

PAMOJA SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. big up ay namkubali sana but hiyo web kaka michuzi nimeingia tatizo moja tu imeandikwa kifaransa tupu hata ile fomu ya kupigia kura nayo imeandikwa kifaransa na kwakuwa mm binafsi namkubali sana ay nimefanya kubahatisha tu kumpigia kura ila sijui kama imeenda so kama kunanjia nyengine tuambie ni jinsi gani tutampa tafu huyu mwenzetu coz ametulia sana huyu mtu na napenda afike mbali zaidi ni hayo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...