KATIBU MKUU WA AFRICA MASHARIKI,BALOZI JUMA MWAPACHU AKIZINDUA TOVUTI YA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA ZIWA VICTORIA LINALOTARAJIWA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA MWANZA MAPEMA MWEZI WA KUMI NA MBILI MWAKA HUU,KULIA KWAKE NI MHARIRI WA TOVUTI YA JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI BW. EDWARD SSEKALO.TOVUTI HII IMEPEWA JINA LA ZIWA VICTORIA.(PICHA NA WOINDE SHIZZA,ARUSHA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaa kawaida habari haijakamilia. Jina la tovuti ni "ziwa viktoria.
    Naomba utupe www.?????????.com bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...