Mkurugenzi wa Uchumi na Sera wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dr. Joseph Masawe (katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na benki ya Stanbic Tanzania kwa ajili ya wateja wao katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mchumi anayeshuhulikia nchi za Afrika wa Benki ya Standard,Yvette Babb na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bashir Awale.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...