Jaji mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (kushoto) akimwapisha Mheshimiwa Mlingi ambaye anakwenda kuwa hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya leo jijini Dar es salaam.
Bi. Angela Teye akila kiapo cha kuwa Naibu Msajili wa mahakama kuu kitengo cha Biashara mbele ya Jaji kiongozi wa mahakama kuu,Fakih Jundu leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wasajili wa mahakama wakifuatilia zoezi la uapishaji wa wasajili wa mahakama lililofanywa na jaji kiongozi wa Mahakama kuu, Fakihi Jundu leo jijini Dar es salaam.
Jaji mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhani akizungumza na mahakimu ambao wanakwenda kufanya kazi katika mahakama za hakimu mkazi nchini mara baada ya kuwaapisha leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya sheria.
Jaji mkuu wa Tanzania Augustino Ramadhani akizungumza na mahakimu ambao wanakwenda kufanya kazi katika mahakama za hakimu mkazi nchini mara baada ya kuwaapisha leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya sheria.
Jaji kiongozi wa Mahakama kuu Fakih Jundu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wasajili wa mahakama pamoja na familia zao mara baada ya kuwaapisha leo jijini Dar es salaam.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...