TMK Family wakifanya vitu vyao katika bonanza la Grand Malt lililofanyika leo katika fukwe ya cocobeach jijini dar.
mambo ya taarabu yakionyeshwa na vijana wa kike katika bonanza la Grand Malt lililofanyika leo katika ufukwe wa coco beach jijini dar.
watu kibao walihudhuria bonanza la Grand Malt leo katika ufukwe wa coco beach.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Samahani wadau, naomba kama kuna anayefahamu maana ya neno bonanza anifahamishe

    ReplyDelete
  2. Bonanza - is a Spanish word meaning abundance of..........well being, money, crops, good life etc.

    ReplyDelete
  3. Ahsante mdau wa Monday 13. Sijafahamu namna ambavyo linatumika kuhusiana na matamasha, naona kama vile hakuna uhusiano kabisa

    ReplyDelete
  4. No problem ...Nadhani inaweza kuwa na maana hii but this is just me ninavyofikiri inaweza ikawa na maana ya the good life with grand malt unajua tena kiswahili kutafsiriwa neno kwa neno ndio hayo tunayoyapata....au ni Maisha mazuri ukiwa unakunywa big malt ...who knows...I don't know ..I am just trying to figure out wana maana gani wakisema hivyo lakini hebu tusubiri wenyewe wakiama labda watatueleza the real meaning...We live we learn

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...