Home
Unlabelled
Brand new track ''CHAP CHAP' by AY & Bebe Cool
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Muzic ni mzuri tatizo video quality is very poor
ReplyDeletedah sasa huyu A.y tumeshakichoka hichi kiswata chake cha zambarau...kiiila eventa anacho, sjui kwenye miss Tanzania kipo,kwenye maclub humoo yukonacho, kiiila mahali, au ndio kauka nikuvaeeee,au ndio kimetoka kwa babu? alaaa
ReplyDeletemdau wa kwanza umeona kisweta tu kwenye video nzima? baada kutoa hilo dukuduku lako ungechangia kitu kingine che maendeleo kwenye hio video sio kila saa kutafuta tafuta vitu visivyo na maana.
ReplyDeleteQuality ya video ni nzuri sana compared na video zingine zingine za bongo flava.nyimbo pia kali na mpangilio wa beats ni mzuri.
mdau wa kwanza umeona kisweta tu kwenye video nzima? baada kutoa hilo dukuduku lako ungechangia kitu kingine che maendeleo kwenye hio video sio kila saa kutafuta tafuta vitu visivyo na maana.
ReplyDeleteQuality ya video ni nzuri sana compared na video zingine zingine za bongo flava.nyimbo pia kali na mpangilio wa beats ni mzuri.
Ngoma kali! Safi sana mzee wa commercial.AY iss the most promising bongo flava artist in Tanzania.
ReplyDelete