Habari iliyoifikia Globu ya Jamii sasa hivi punde toka visiwani Zanzibar,inaeleza ya kwamba Tovuti ya www.dksheinzanzibar2010.org,itakuwa live leo katika uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi ( CCM) visiwani Zanzibar toka katika viwanja vya kibandamaiti kuanzia saa tisa unusu,alasiri leo hii.
(kwa saa za kibongo).


Hivyo wadau mnatakiwa kuufuatilia mkutano huo kupitia mtandao uliotajwa hapo juu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwanza kabisa napenda kusema, kama kiongozi na mzee watu, napenda kutoa heshima zote kwake, lakini nimeangalia website yake, hamna sera bali matembezi ya campaign, kwangu mimi nahisi maalim seif akichukua na Dr. Shain akawa makamu hapo ungozi utakua maridhawa kabisa,

    Zanzibar lazima ije juu, na mfano kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, DEMOKRASIA ILIYO KOMAA yenye kujali watu na nchi na siyo ubinafsi.

    Hongera sana Dr. Shain, nakupenda sana lakini naona Maalim kakupip this time around, angalia website yake utaona ni sera za maendeleo tu, na si maneno ya campaign tu. Nini kitafanyika, na siyo wapi natoka, na wapi naelekea hatujui ??

    Huo ni mtizamo wangu wa Dr. Shain na Maalim

    ReplyDelete
  2. http://www.dksheinzanzibar2010.org/habari-motomoto/10-dk-shein-aiteka-zanzibar.html

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...