Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Tawi la Mtoni mjini Zanzibar leo, wakati alipokuwa katika ziara ya kuyatembelea Matawi ya CCM ya Wilaya ya Magharibi Unguja na kuzungumza Wanachama hao.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM,Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtoto Fatuma Juma (9) wakati alipotembelea katika Tawi la CCM Mtoni Mjini Zanzibar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...