Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri ya Jimbo, Wadi na Matawi Jimbo la Dimani katika Tawi la CCM Shakani mjini Zanzibar leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Watoto wa Mtaa wa Magomeni mjini Zanzibar kwenye Tawi la CCM Mzalendo, wakati alipotembelea katika Tawi hilo kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri ya Jimbo, Wadi na Matawi ya CCM Jimbo la Magomeni Zanzibar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Aaaa Michuziiii, wewe kiboko. Ziara za Shein zote hutuoeshi huo umati kama wa wagombea wengine, lazima mshikaji atakuwa kafulia vibaya vibaya kwenye kampeni zake. Wewe toa tu hata kama kuna watu kumi, hiyo ndiyo demokrasia.

    ReplyDelete
  2. sijui kwanini wenzetu mna dharau na mambo muhimu. nimeona mara nyingi kumbi za mikutano, vyuo, na ofisi zimechakaa vibaya. yaani hata kukiwa na suala la kimataifa ukiangalia premises, aibu. yani nyumba ukuta umekwanguka, mara viti vya bati, mara mlango wa bati, ama ndo utamaduni wenu??? aaghh

    ReplyDelete
  3. duh nimependa ukuta rangi hii lazima nikapige mjengoni kwangu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...