Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Kitope Wilaya Kaskazini B Unguja Balozi Seif Ali Idi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Bumbwini Makoba.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Bumbwini Makoba Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
Msanii wa Uigizaji na vichekesho akifanya Usanii wake kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo katika Uwanja wa Bumbwini makoba.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika uwanja wa Bumbwini Makoba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...