
HAKIKA LEO NI SIKU NYINGINE YENYE REHMA NYINGI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA IBADA YA FUNGA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
HAKIKA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA KILA KILICHOMO NDANI YAKE AMETUJAALIA KUFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA KUDRA ZAKE NA KWA IMANI YA KWAMBA DUA ZETU NA IBADA ZETU ZOTE ZIMEPOKELEWA KWAK .
GLOBU YA JAMII PAMOJA NA TIMU YAKE IKO PAMOJA NA WADAU WOTE POPOTE PALE WALIPO KATIKA KUISHEREHEKEA SIKUKUU HII YA EID EL-FITR NA PIA INATOA MKONO WA EID KWA KWA WADAU WOTE NA KWA BARAKA ZOTE.
EID MUBARAK
Ankal Mzee wa Libeneke,tunashukuru na tunaupokea mkono wa Eid,kwa mikono miwili,nasi tunakupa mokono wa Eid mubaraka! wewe pamoja na wadau wote,Eid Mubaraka.
ReplyDeletewadau
FFU wa ughaibuni
minalfaidhina Ankal kwako pia na wote
ReplyDeleteMin al-faidhina. Shukrani sana na Eid Mubarak na wewe kaka. Na pia napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia ndugu zangu wa TZ na waislamu wengine wote popote pale walipo katika kuadhimisha sikukuu hii na kwa kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani. Eid Mubarak tena.
ReplyDeleteEid Mubarak kwako na timu nzima ya blogu ya jamii na wadau wake popote ulimwenguni
ReplyDeleteminal faaizina......mwenyezi mungu atuweke tuje tufunge ramadhan ijayo pamoja inshallah
ReplyDeletekul am waantum bikhair! tunakutakia nasie eid njema wewe na familia yako . m mungu awajalie barka tele katika siku hii njema. nawatakien eid njema wote popote mlipo . m mungu ajalie na mwakani atupe uhai tuione inshaallah!
ReplyDeleteyabinty
minalfaidhina ankal ukiona kimya ujue sina hahahahaaaaa idi njema mzee wa libeneke.
ReplyDeleteAsalaam alaykhum wajina tunashukuru sana kwa salaam zako mwanana inshaalah kila aliefanya toba hii dua zake zitakua zimepokelewa Eid Mubarak!
ReplyDeleteChef Issa