Afisa Maendeleo ya Biashara wa tawi hilo akimkabidhi mtoto Osama swadaka ikiwa ni zawadi yakuwa kati yawashindi wa kuhifadhi Quran tukufu kanda ya ziwa.Your browser may not support display of this image. Baadhi ya Swadaka zikikabidhiwa kwa watoto yatima wa kituo cha Ilemel na Joseph Gwalugano na Maulid Tarimo.Wakiongozwa na meneja wa tawi la Mwanza Bw. Joseph Gwalugano, walikabidhi swadaka yao kwa uongozi wa kituo hicho. Kutoka kulia ni Peter Nkenguye, Rehema Mbalike, Allawi Mdee (Afisa Maendeleo ya Biashara wa tawi) Mkuu wa shule ya msingi, na Joseph Gwalugano (meneja wa tawi ).Wafanyakazi wa bank ya FBME kanda ya ziwa wakiwa pamoja na uongozi wa kituo cha kulea watoto cha Islamic Yatima Foundation kilichopo wilayani Ilemela mkoani Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...