
Gazeti lako mahiri la uchambuzi wa mambo ya siasa,michezo burudani na mengineyo linalochapishwa na Kampuni ya Msama Promotions,kesho litakuwa mitaani kwa mara nyingine tena,kama ada yake huwa limesheheni habari kibao za kusisimua.! Usikose jipatie nakala yako mapema kwa shilingi 400/= tu kwa kila kopi.
Whether you think you can or can't, you're right!!!
ReplyDeleteDr. Slaa hajasema atatekelezea ahadi zake kwa Watanzania ndani ya siku mia moja (kama gazeti linavyoashiria) amesema ataanza mchakato wa kutekeleza ndani ya siku mia moja. Kuna tofauti!
ReplyDeleteDUH KWELI NI PROPAGANDA KWENDA MBELE. ILA WEEE MZEE NI CCM DAMU.ILA WATU HAWADANGANYIKI.NI BORA TUMPE KURA SLAA KULIKO CCM CHAMA KILICHOSHIDWA KWA MIAKA 50. USIBANE COMMENT
ReplyDeleteMwandishi atofautishe kati ya ahadi za maamuzi na ahadi za ujenzi au ununuzi. Ahadi za Slaa ni za maamuzi kiutendaji yanayofanywa na Rais siku moja tu; kwa mfano, kuitisha kikao cha kufanyammabadiliko ya katiba. Ahadi za Kikwete ni za manunuzi zinazotaka pesa na muda wa kufanya utekelezaji; kwa mfano kujenda bandari ni mradi unaohitaji pesa na muda wa kusanifu na baadaye kujenga hiyo bandari.
ReplyDeleteMbona gazeti lenyewe halipo kwenye mtandao? Bila ya kuwa kwenye mtandao matangazo yote ni ziro kabisa.
ReplyDeleteCHADEMA!HOYEEEEEE! FREE EDUCATION FROM KINDERGARTEN TO UNIVERSITY IS POSSIBLE WITHOUT UFISADI.
ReplyDeletekweli kabisa slaa angemuunga mkono lipumba,maana cuf wanao ilani yao ya 2015,ahadi zenye maana,sio dr slaa anaongea pumba tu kwenye majukwaa,mara aseme ataghalalisha gongo,hana jipwa,kazi majungu tu,mara najua siri za sita,mara siri za kinana,mara siri za mama salma,watanzania wanataka kusikia sera zako ukiingia ikulu utafanya nini,sio longolongo nyingi
ReplyDeleteHaya magazeti ya kukampenia Chama cha mapinduzi hatu nunui ng'o.Tunataka gazeti nutro ili tuchuje weyewe.Gazeti hili ni la kada aliyeenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni CCM.sijui hakuwa na rushwa ya kutosha?.
ReplyDeleteWapinzani hamna chenu, kazi kudanganya wananchi, eti elimu bure. Kazi kulalamika na kuona mnaonewa badala ya kutangaza sera zenu mueleweke. Muda wote nyie mnalalamika...na mnawapata wajinga maana naona watu mliokimbia umande ndio mnawapigia debe wapinzani, mnaleta personal problems kwenye siasa. Hata SILAHA akiungana na MREMA sijui LIPUMBA hamna chenu mwaka huu wala miaka 10 ijayo, wala 40.....
ReplyDeleteMichuzi ana haki ya kuwa mfuasi wa CCM kwasababu anajua statistics za maendeleo ya nchi yake na hana sababu ya kutoka CCM. Nyie mnataka awe mpinzani kwani lazima...yani ovyo..mshaniharibia siku yangu....arghhh
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!! mmh kuna dira kweli hapo ndo maana habari zako haziuziki kutwa kujitembeza.
ReplyDeleteMdau wa Tarehe Mon Sep 20, 07:30:00 AM, Mtoa Maoni: CCM DAIMA pole. Ukiona nchi ina watu kibao 'walioogopa umande' ina maana kuna matatizo katika mfumo wa elimu, kuna kitu serikali yao inakikosea. Hata hizo 'statistics' unazodai zipo ni zile za kusema 'tumetekeleza ilani ya uchaguzi kwa asilimia tisini' bila mchanganuo. Au kusema tumeongeza ajira milioni moja na nusu katika sekta isiyo rasmi. Hao watu waliopata ajira kwenye sekta isiyo rasmi walikuwa wanafanya nini kabla ya hizo ajira? Watu wangapi wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka?
ReplyDeleteHuyu Msama ni promoter wa nyimbo za injili hasa mwimbaji Rose mhando, sasa iweje mtu tuliyedhani ni mtumishi wa Mungu leo hii atoe magazeti yanayolenga kuwakashifu baadhi ya wagombea wa vyama mbadala na CCM?? tena analenga kusema uongo, anatoa picha gani??
ReplyDeleteHili nalo ni gazeti?
ReplyDeleteMAdau:{ Tarehe Sun Sep 19, 11:15:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous}.
ReplyDeletekwanza kabisa hujui siasa katika nchi hii wewe , WATANZANIA WANAHITAJI MTU WAKUWAFUMBUA MACHO KWANZA HALAFU NDO WAANZE KUSIKILIZA, NA NDICHO ANACHOKIFANYA SILAHA.
KUNA WATU WANADANGANYWA KUWA KURA YAKO USIPOIPIGIA CCM TUKIENDA KUHESABU TUTAONA NA UTAKUWA MATATANI -HUKO VIJIJINI: TEMBEA UJUE YANAYOFANYWA SIO UNAANDIKA TU:
PILI-SERA ZA CHADEMA NDO HASA KITU WATANZANIA WANATAKA KUFANYIWA, TUMECHOKA KUONA NCHI INAKILA KITU HALAFU BADO TUNAAMBIWA KUWA UTIWAMGONGO NI KILIMO CHA MKONO OVER 40YEARS NOW,
WAKATI KUNACHI ZINAMAFUTA TU! NA ZIPO JUUU, SISI TUNAKILAKITU UNACHOJUA HAPA DUNIANI NI MALI HAPA KIPO .
RWAITAMWA ALISEMA HIVI: KWA MARA YA KWANZA CCM INAWEZA IKASIMAMIA UCHAGUZI VIZURI UNAOKIONDOA CHENYEWE MADARAKANI, NA NDICHO KITAKACHO TOKEA.
WATUW ACHACHE WANAENJOY NCHI NA WALIO WENGI TUNAAISHIA KULIPO KODI KUBWA NA INAISHIA KWENYE MATUMIZI YA KIJINGA:
TATIZO KUBWA LA CCM NI WATU WALIOJIMILIKISHA CHAMA NA SERIKALI AMBAO IMEFIKIA MAHALI NCHI WANAONA YAO,
JIULIZE KUNAUMUHIMU GANI WAKURUHUSU WACHINA WAJE KUFANYA BIASHARA KARIAKOOO? MANZESE NA MAGOMENI ?
KWNANI WASIJENGE VIWANDA CHALINZE , RUVU NA KWINGINEKO KUTANUA MJI NAKUONGEZA NAFASI ZA WATU WETU KUAJIRIWA UWEKEZAJI WA VITU AMBAVYO WATU WETU WANAWEZA FANYA MAANA YAKE NI NINI?
YAAANI KUNA MAMBO MENGI SANA YAKIMAAMUZI TU HAYAHITAJI HELA NA NDIO TUNATAKA MTU WAKUYATATUA KWANZA
ANGALIA USA KUNACHAMA CHA WATU WANAOTUMIA SANA HELA NA KUNACHAMA CHAWATU WANAOKUSANYA HELA NA KUZITAFUTA VIZURI NA WANAPOKEZANA .
HAAP TWAHITAJI MTU WAKUFUTA MAUZEMBE YA CCM KWANZA MAANA WENYEWE HAWEWEZI KUYAONDOA KWA KUONEANA AIBU .
TEHE-TEHE-TEHE-TEHE....
ReplyDelete"ETI KWANI SIJUI ATAKAYENIZIKA"
mdau (Tarehe Mon Sep 20, 07:30:00 AM, Mtoa Maoni: CCM DAIMA)
ReplyDeleteDemokrasia unaijua maana yake ninii?
watanzania wanatakiwa wawe na nafasi za kuchagua kwanza,
pia wao ndo wanahaki ya kusema wewe unadanganya na wwewe umesema ukweli .
CCM imefunga vyuo vyote nchini na wasomi wapo vijijini na wao walijiandikisha mjini sasa hao wote kura zao hatunazo ,
makosa ya serikali ipi?
sasa hao ndo wamekuwa mabalozi wazuri kwa wapinzani huko vijijini na mwiba mkali sana kwa CCM kitu ambacho kwa macho ya CCM yakutembea huku wameangalia chini hawakuona wanatengeneza bomu kubwa lakuwaangamiza.
sasa hao ndo wanawafafanulia watu huko vijijini ukweli wa mambo anayosema silaha, lipumba na wengine.
siasa za kwenda kwenye mkutano na kuongea hutaki maswali , kama upo kanisani sasa zimekwisha . tunataka kuchagua mtu mwenye uwezo ndo maana hata kubishana kwenye hojaa na mikataba munashindwa munaishia kusign mikataba kwenye nchi za watu tena hotelini.
hii mambo yafaa kuwa na mwisho, now tunataka mtu wakusafisha serikali na kurudisha mslahi sawa kwa watanzania .
Mtanzania wa kawaida ananunua gari la 200ml,100ml,150ml.
hi hela angwekeza hapa nchini angeajiri watu wangapi? anapataje hizi hela kuweza kuzitumia kirahisi hivi? amezipata wapi hizi hila?.
watu wachache wanaenjoy uchumi wetu kirahisi,
SINTOSAHAU SIKU YA KWANZA NILIPOANGALIA SALARY SLIP YANGU NIKAANGALIA KODI NAYOLIPA, HELA NAYOLIPA KUNA WAFANYABIASHARA WANALIPA KWA MWAKA CHINI YA HIYO NAYOLIPA MIMI KWA MWEZI 1 ,NA FAIDA WANAYOPATA SIO YAKITOTO.
HALAFU NIKAANGALIA MATUMIZI YASERIKALI KWA HIYO KODI YANGU.
CCM tuizike tu, ufisadi unatuumiza sana ati.
kwani yeye kikwete katimiza ahadi ngapi alizotuahidi..hata moja
ReplyDeletechadema oyeeeeeeeeeee
.....Hata Chadema wakiingia Ikulu vekesheni utakwenda tu Mithupu, wacha woga !!!
ReplyDelete