Jaji Mkuu,Mh Augustine Ramadhan akisaini hati ya kiapo wakati alipokuwa akiwaapisha Mahakimu Wakazi Wapya wanne ofisini kwake leo.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh.Augustine Ramadhamani akizungumza na Mahakimu Wakazi Wapya wanne mara baada ya kuwaapisha ofisini kwake leo.Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Mahakama za Wilaya hadi Rufaa Mh.Prophir Lyimo
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Augustino Ramadhani akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu Wazizi Wapya aliowaapisha leo ofisini kwake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndugu zanguni najua mmeapa kwa kushika misaafu mitakatifu, basi nawahimiza mkajiepushe na rushwa na msimamie haki bila kubagua. Be blessed for whatever task and hardiship you about to encounter

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...