Home
Unlabelled
Jakaya Songa, January Songa, Bumbuli Songa Music Video
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
THIS IS REALLY HOT. SOUTH AFRICA MEETS CONGO. ninawatakia kila la gheri jakaya kikwete na january makamba wapate ushindi mkubwa sana.
ReplyDeleteVijana hawa wanaimudu vizuri sana sanaa yao. Nawapongeza sana. Wanastahili kuungwa mkono na kupewa kila msaada katika kazi nzito wanayofanya ya kutuletea burudani.
ReplyDeleteKuhusu suala la uchaguzi, wananchi tuna wajibu wa kuangalia sera zinazoifaa nchi yetu. Hili ni suala la sera halitatuliki na burudani. Kwa hivi, nategemea wananchi hawatapoteza lengo kwa sababu ya hizi burudani za kukata na shoka.
CCM inatakiwa ije kwenye midahalo, sio kupiga chenga au kutoa visingizio. Ni uwanja wa kuwaeleza wananchi masuala muhimu ya sera na kadhalika, na kujibu masuali ya wananchi, ili wajiandae vizuri kwa kupiga kura. Haikubaliki, kwa mtazamo wangu, kuweka masharti ambayo yanazuia uhuru wa wanachi kuuliza masuali. Tena bora yawe ya papo kwa papo, ili wababaishaji wagundulike vizuri.
Napenda kumalizia kwa kuwaongelea tena hao vijana wanaotoa burudani. Inaeleweka kwamba wasanii katika Tanzania wamekuwa wakidhulumiwa jasho lao kwa miaka nenda rudi, na bado hakujawa na ufumbuzi. Lakini wasanii hao hao wanatumiwa au kutumikishwa katika shughuli mbali mbali, kama vile kwenye hizi kampeni. CCM ambayo imeshika hatamu za uongozi, ilipaswa kuwa imefanya kinachohitajika kwa haki na maslahi ya wasanii hao.
Kwa hivi, narudia kwamba burudani zisitufunike macho na akili, tukashindwa kuona masuala ya msingi yanayohitaji kushughulikiwa katika hizi kampeni.
KWELI NDIO CHAMA KIPENZI JINS HUO UMATI NA MIDUNDO YA NGOMA ZA HAO JAMAA HAKIKA CCM SONGA PASUA MAWINGU
ReplyDeleteMPILI WA MPILI
Vijana wanapalilia mbuyu,safi sana.Lakini! hivi bumbuli ipo wapi,sijawahi kuisikia b4.
ReplyDeletekampeni zilitakiwa ziwe na mijadala zaidi kuliko muziki na kunengua.
ReplyDeleteJanuary kashashinda uchaguzi, amepita bila kupingwa, CCM wangeelekeza nguvu zao kwa wagombea wanaokabiliwa na upinzani.
Wasanii hongera sana, mko juu. Nimewapenda sana hawa vijana wanaimba vizuri na mziki ni mzuri sana. Hivi ni bendi gani na huyo bwana mdogo anayeimba aitwa nani? Mungu azidi kubariki kazi za mikono yenu kwa kweli, hopefully na Serikali itawapa support kubwa katika kazi zenu.
ReplyDeleteDAHHH VIJANA MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA SANA NANINYI PIA MSONGEMBELE,PIA HONGERA SANA MICHUZI KWA PICHA MOJA KALI ULIOMPIGA MGOMBEA WA CHADEMA ANAONEKANA YEYE MILIMA NA BANGO LA CHAMA KUBWA BRAVOOOOOOOOO
ReplyDeleteAnkal tuwekee na vimbwanga vya dokii tuone nayeye uwezo wake kisanaa maana ana mashauzi ya kufa mtu
ReplyDeleteWanafunzi wanafanya nini kwenye kampeni??????????????????
ReplyDelete