Vote for Mwisho by sending the text
Vote Mwisho to 15726 or on website

www.mnetafrica.com/bigbrother

and click on Mwisho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. yupo CHAMA GANI????

    ReplyDelete
  2. WATANZANIA HUSHABIKIA SANAAAAA LAKINI INAPOKUJA KUPIGA KURA HOI.

    KWA KUPIGIWA KURA HASA HASA KWA MAMBO KAMA HAYA YA SOCIAL, BORA MARA KENDA WAKENYA, SA, ZAMBIA, NIGERIA, TZ ZERO. MWISHO POLE SANA

    ANAYEBISHA KUWA SISI WA TZ DOMO KAYA TU VITENDO ZII, ALETE HOJA.
    ALEX BURA

    ReplyDelete
  3. Helow badies from Tz visiting this blog, plz lets vote for Mwisho plz na kuweka rekodi ya wabongo kuchukua Mshiko. Njia pekee ambyo mwisho anaweza kushinda ni kwa kura zetu tuweke mbali tofauti zetu na kumpigia kura.

    ReplyDelete
  4. helow guys plv vote for Mwisho

    ReplyDelete
  5. Badies plz lets join and vote for Voooooooooooooote for Mwampamba

    ReplyDelete
  6. To be honest inspite of every thing Mwisho rocks the house and he is the only reason i watch BBA. Lets vote for the guy, i just Did.

    ReplyDelete
  7. Munya is scary for Mwisho lets show his club the MUFC sijui that Mwisho is the one to walk away with the briefcase. Tracy from South Africa

    ReplyDelete
  8. I just casted my Vote 4 MWISHO! let's vote and vote and vote and vote! It's simple, create an sms with the following message... VOTE MWISHO then send to number 15726.

    ReplyDelete
  9. Anony uliesema 'plz lets vote for Mwisho plz na kuweka rekodi ya wabongo kuchukua Mshiko',.kwani wakiisha chukua mshiko inakuaje bana?Richard alichukua mshiko, tulimpigia kura, wewe umefaidika nini na ushindi wa Richard?nani asiejua Mwisho aliporudi BBA alikuwaje,.ni party mitungi na mademu tu,ivi ndivyo wanavyotulipa tuliopiga kura?...tze tutumie muda huu kutatua dhiki tulizonazo, n stop ushabiki wa mambo ya kijinga.

    ReplyDelete
  10. WATANZANIA MPIGIENI KURA HUYU JAMAA VINGINEVYO ATANG'OKA MAANA WA TZ UTAIFA HAMNA KUSEMA SEMA TU ,MANENO KIBAO VITENDO VINATAKIWA JAMAA ACHUKUE MSHIKO ACHENI KUULIzA YEYE NI CHAMA GANI AU NI KABILA GANI? watanzania kokote afreica mlipo mpigieni kura chapombe wetu

    ReplyDelete
  11. ray c anakusubiri uje ziishe kama kipindi kile

    ReplyDelete
  12. tulimpa shavu sana the first time, alivyorudi bongo akapokewa kama mfalme... people looked up to him...but he let them down...at the end of the day, he ended up in the gutter.

    He is lucky to get a second chance...but i don't believe people believe in him anymore. What can I say, you reep what you sow.

    ReplyDelete
  13. jamaa akipata atatusumbua sana! mademu wetu watakua hatarini bora akose.

    ReplyDelete
  14. you and you and me......let's vote for Mwisho. I just did.

    ReplyDelete
  15. We mtoa maoni wakwanza acha kutuchanganya watanzania wote ktk haya mambo yenu yakipumbavu.Hatushabikii wala hatupigii kura bcoz haya nimambo yakishetani na haya faida yyt kwa jamii.Km ww unashabikia kimpango wako na mungu wako lkn usishirikishe na wengine.Na nyie wengine mnaotaka tumpigie kura huyu chizi tuambieni kwa lipi lamaana mpaka apigiwe kura?Mambo yakipuuzi tu,najua mtasema anatangaza nchi sijui madudu gani lkn nawauliza hivi ni nchi gani iliopata umaarufu duniani kwa upuuzi huu wa Big Brother?alafu ni nchi gani ilioendelea kupitia mashindano yakipuuzi km haya?achni kuwa watumwa wa FREE MASONS na kupigia debe vitu msivyovijua.

    ReplyDelete
  16. Nami nimetenga kabajeti kangu ka US$ 10 (Tshs 15,000) (kura 25) kwa matumaini kuwa Mwisho Mwampamba akishinda ataliongezea taifa forex ya US$ 200,000. Uzalendo upo katika hali nyingi. J. Kaaya. Arusha.

    ReplyDelete
  17. Mdau Kizibo, Mwisho yuko chama cha Big Brother Africa cha M-NET. Anagombea kitita cha Rand Milioni Moja.

    ReplyDelete
  18. jamaa katulia utadhani kofi olomide.big up mwanzo or no mwisho

    ReplyDelete
  19. Mimi simchagui kwa usalama wa maisha yake, kwa jinsi ninavyomfaham yule jamaa akizishika hizo pesa atafia bar! You are finish Mwisho!

    ReplyDelete
  20. kaka uliotoa maoni hapo juu mungu akupe anachotaka.unayosema ni kweli vitu vingine vya kipuuzi havisaidii nchi yetu.kura ya nini watu wazima ovyooooo

    ReplyDelete
  21. Mimi simpigii kura huyu jamaa kwa usalama wa maisha yake maana kwa jinsi ninavyomfahamu akizipata hizo pesa atafia bar. You are finish Mwisho, no vote from me!

    ReplyDelete
  22. Ni wivu tuu unawasumbua wabongo hamna lolote

    ReplyDelete
  23. Mwisho piga ua upo juuu tuu bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi ukafikiri itakuja kwako poleni wenye roho za korosho

    ReplyDelete
  24. Mwisho piga ua upo juuu tuu bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi ukafikiri itakuja kwako poleni wenye roho za korosho

    ReplyDelete
  25. hahahahahaahah hii ndio TZ BWANA

    ReplyDelete
  26. wawaaaaaaaaa mwampamba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...