Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongera kijana January Makamba. Ni mwanzo mzuri na tunakuombea mafanikio mema katika kazi yako mpya ya Ubunge ambayo utaianza rasmi hapo November 2010. Hakikisha unayafanya yote uliyokusudia na kuwaahidi wananchi wa Bumbuli ambao wanamatarajio makubwa sana juu yako. Kuthibitisha haya ni pale akina mama, akina baba, wazee kwa vijana walipokuwa wanajitokeza kwa wingi kukusikiliza na kukuombea ufanikiwe. Usije kamwe ukawatega kisogo kwenye ufalme wako. Utapata laana kali sana na mwaka 2015 wala sio mbali.
    Mdau

    ReplyDelete
  2. Love him or hate him,hii haijapata kutokea bongo.Kijana amethubutu na ameonyesha utofauti yangu aanze kujulikana.

    ReplyDelete
  3. PETER NALITOLELASeptember 10, 2010

    MY VOTERS OF BUMBULI....!

    DEAREST BLOGSES EVERY WHERE AT THE WORLD I AM PETER NALITOLELA OF MULOGOLO MUZUMBE UNIVESITY WHO ALSO COMPLITED HIGH SCHOOL AT ST. ANTHONY THERE MBAGARA FAR EAST OF DAR. I AM ASTONISHED VERY MUCH AT THE NEWS WHICH COMES TO BLOGS THAT MY DEAREST COMRADE MAKAMBA JANUARY ARE NOT HAVING OPPOSITION PARTY TO COMPETE HIM SO I AM IN IT TO BE HER COMPETITORS OF THIS ERECTIONS I ASKED YOU PEOPLE MOTHER WITH FATHERS AND KIDS PLEASE DON`T ERECT MAKAMBA ERECT BY ME BECAUSE MAKAMBA JANUARY ARE NOT KEEPING HER THE PROMISE OF EVERY THINGS HIS SAY, HIS LYING UNDER OATH AND IS GOING AT REGREAT THIS STATEMENTS OF MUCH PROMISES. IF I ERECT MY POSITION OF MEMBER OF PIRIAMENTS OF BUMBULI I SHOULD MADE SURE ALL PEOPLE GET INCOME AND JOBS AND ARE NOT GOING TO LEAVE YOU ALONE AND LONELY I SHOULD STICK BY YOU AT HAPPINESS AND SAD NEWS TOGETHER FOR LIFE. I AM MORE EDUCATION AS BETTER AS THAN MAKAMBA IF YOU COMPARED US. I LIKE PEOPLE LIKE YOU OF ALL AGES AND ALL GENERATION OF TODAY AND FOREVER. HOWEVER I AM PEOPLE OF HMAN BEINGS, NOW I LOOK AT YOU MAKAMBA TO ANNOUCE NOW THAT YOU WLL BE MY CHALLENGER COMING ERECTION YEAR THEREFORE ARE NOT ALONE IN DEED. BUMBULI I TELL YOU TO HOLD HANDS TOGETHER AND SAY NO TO MAKAMBA ERECT ME NO AND FRUITS WILL SEE LATER AFTER I ERECT ME. I PROMISE CHANGES IN ALL OF BUMBULI PEOPLE AND BRING FOOD AND MORE SCHOOLS AND TEACHERS TO TEACH PEOPLE. I AM HAPPYING YOU UNDERSTOOD AND I WILL ERECT ME. GOD BLESSES BUMBULI AND HOWEVER TANZANIA BY OTHER HANDS. ASANTENI SANA!

    ReplyDelete
  4. Hongea maaa, tatee january ambu neutuletee maendeleo ishii wana wa lushoto.... zumbe atogolwe eetate eemnaaa

    ReplyDelete
  5. Haya subirini miaka mitano ijayo muone mabadiliko.

    ReplyDelete
  6. i enjoyed mudumange.
    february was just interested to win all his coments and effort was just based on to win he never even mention whats are problems facing his people or even talk about manifesto of his part,
    namashakanae kwa hilo ila kwa sababu ni kijana tuonyeshe siasa mpya za kuwajaliwatu. na sioubinafsi.

    ni mimi.

    september

    ReplyDelete
  7. Tunataka midahalo ya live, chonde chonde ili tuwapime watakoweza kutuletea maendeleo bungeni na si kusinzia.

    Wabembeleze wahusika.

    ReplyDelete
  8. i can see a serious presidential candidate 2015 in the making! well done january for modernising our politics! ilikuwa boring sana sasa at least tukiona hivi tunaona there is light at the other end of the tunnel!

    ReplyDelete
  9. mtoto wa simba ni ..........

    Mtoto wa chui ni ........

    Mtoto wa mwalimu ni ..........

    naomba majibu wadau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...