Bango la Dk Faustine
JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile ambaye ni mwana libeneke mahiri.

JK akihutubia umati mkubwa wa wananchi katika uwanja wa Zakheem, Mbagala, jijini Dar

Kinamama wakifurahia sera zinazomwagwa na JK

Sehemu tu ya nyomi ya watu waliojitokesa uwanja wa Zakheem

Dk. Faustine Ndugulile akijiunga na wasanii jukwaani kuburudisha umma

JK akiongea na wana CCM wa jimbo la Ubungo,katika ukumbi wa Ubungo plaza jijini Dar katika awamu ya pili ya kampeni yake iliyoanzia Dar kabla ya kuelekea Morgoro, Tanga na Kilimanjaro.

BOFYA HAPA
kwa picha zaidi za mikutano hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania wenyewe

    ReplyDelete
  2. Wana-CCM, tusilegeze kamba...uzi ni ule ule. Tuongeze juhudi zetu maradufu.

    ReplyDelete
  3. Safi sana. Tuwalize machozi ya damu waongo wa chadema wanaoitaka kuifanya nchi hii iwe kenya nyingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...