Home
Unlabelled
JK akaa vumbini na mlemavu wa viungo,makete
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nothing but pschology.Make them think and feel you're one of them,while you're gunning for the gold.This guy knows how to exploit the media . Let me see if he's going to do this after he gets re-elected.
ReplyDeleteMTU WA WATU.
ReplyDeleteMWIZI MTUP!! ANACHEZA NA MEDIA TUU HUYU ILI AONEKANE MTU WA WATU, KAMA NI MTU WA WATU SI ANGEKOMALIA PESA ZA RICHMOND,EPA,MEREMETA,KAGODA N,K ZIRUDISHWE ZIWASAIDIE WANANCHI, NA SIO KUUUZA SURA TU KWENYE MEDIA. BADALA YAKE ANAWAAMBIA WATU WAWACHAGUE WEZI WALE WALE WA EPA NA RICHMOND, ANATAKIA NINI NNCHI YETU HUYUUUUU??
ReplyDeleteWewe ambaye unaandika kiingereza kingi hamna lolote, JK ni raisi wetu kama wewe ni mtanzania mzalendo umefanya nini kuonyesha kama unapingana na serra za ccm? anajwali watu bwana
ReplyDeletemdau wa kwanza, this man does now and also did this even when he wasnt president, you're just jealous, he did this in his first term in office and he still does, so you better shut your trap, sit back, relax and enjoy the show.
ReplyDeleteSticky Fingaz
yani hata ukalie kichwa topeni mwaka huu lazima tukuonyeshe kwamba tumechoka na ufugaji wa mafisadi.
ReplyDeleteDr. Slaaa oyeeee
najua michuzi hutaweka lakin hbr ndo hiyo
we anon wa kwanza acha tabia ya uchawii,kila kitu negative negative mwangaliee uchawi mtupu kuna tatizo ganı hapo.
ReplyDeleteHii ni kali kuliko zote. Whatever you say, mshikaji yuko vizuri kwenye politics!! Itakuwa kumu kushindana nae
ReplyDeleteKwa lugha ya kigeni au ung'eng'e huyu unamwita A MAN OF THE PEOPLE...nakupa tano mzee unatisha baba JK! mpaka hapo kura yangu umeshapata
ReplyDeleteMaselepa
Kimara Suka
JK ni mtu wa watu sana!
ReplyDeleteHapo sina comment. Nangojea mizinga 21 uwanja wa Taifa
ReplyDeleteMzee jigaragaze hata mafumbini ili mradi upate chako..Ichube
ReplyDeleteHilo siyo swala la kuomba kura. huu ni ubinadamu wake na historia inaonyesha ameshahudhuria vifo, ameenda kuwaona wagonjwa hospitalini nk.mfano angalia hapa hapa. http://matondo.blogspot.com/2010/05/rais-kikwete-anafanya-vizuri-anapofanya.html
ReplyDeletekweli mtu wa watu mkipenda msipende
ReplyDeleteMCHUMIA JUANI ... ... !!!!!
ReplyDelete...Mwaka huu tutaona na kusikia Mengi.
ReplyDeleteTusubirie angalizo lingine litakuaje
JK Nakuaminia.......mpaka kieleweke mkuu......sasa sijui umebakiza kipi ili ueleweke vizuri.......Kaaz kwel kwel.....KAZA BUTI MZEE!
ReplyDelete100% right mdau wa kwanza...
ReplyDeleteTanzanians nowadays cannot be easily misguided by your misinterpretation that abounds with unjust abhorrence and abomination against President Jakaya Mrisho Kikwete. It is not true that President Kikwete sat down on the ground with that disabled woman (Mama Sara Mageni) in Makete District just because of gunning for the gold (getting re-election) as you wrongly said, but he sad down just because he wanted to listen to her properly the action which implies that he is absolutely not jackanapes and is really with all Tanzanians including Mama Sara Mageni and the like. If you are a Tanzania citizen you have to be proud of this type of our President and not to fool yourself and attempt to persuade others to believe your detestable thinking. If you don’t have constructive and wise comments to say, then shut up your mouth. Mdau – Saudi Arabia.
ReplyDeleteRaisi woote waliotangulia hakuna kama huyu.
ReplyDeleteHata Mzee ruksa alikuwa karibu na watu lakini huyu kazidi.
Huu ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine pamoja na wajao.
Huyu mama ni m-Tanzania mwenzetu, binadamu mwenzetu, na ni mhusika wa suala hili na tukio hili. Ingekuwa vema waandishi wa habari wamtafute atueleze mtazamo na fikra zake kuhusu hili suala zima.
ReplyDeleteAnavyoonekana tu kwenye hii picha, anaonekana mwenye hisia na mengi ya kuelezea. Katika malumbano yanayoendelea, kumsahau mama huyu itakuwa ni aina nyingine ya ubaguzi na ufisadi.
nakupa tano JK na mdau wa saudia
ReplyDeleteHuyu jamaa ni real model. halafu ni mwanajeshi lakini ana utu kuzidi wanajeshi na raia wa kawaida ambao hawajaenda kozi za ukatili.
ReplyDeleteMtu amchukiae huyu kijana/mzee basi huyo mtu ana chuki hasa (sawa na yule kijana aliyenshambulia mzee ruksa).