JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM Morogoro mjini Abdulaziz Abood leo katika uwanja wa Jamhuri katika ziara yake ya kampeni ya siku mbili mkoani humo
Wananchi wa Ngerengere wakimshangilia JK wakati alipowahutubia leo

Mkaazi wa Matombo, Morogoro vijijnini Mashariki, akinadi CCM

Mpuliza vuvuzela la kiasili wa Matombo, Morogoro vijijini leo
wakaazi wa Matombo katika mkutano wa kampeni wa JK
JK akihutubia wananchi wa Morogoro uwanja wa Jamhuri leo
Wakereketwa wa Morogoro mjini wakimlaki JK leo
sehemu ya umati uwanja wa Jamhuri leo
maelfu ya wakaazi wa mji kasoro bahari uwanja wa jamhuri leo
palikuwa hapatoshi...










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Kumbe hadi wadhungu wanashabikia chichiem. Katika picha ya nane au ndiyo ili mradi.

    ReplyDelete
  2. Je tutakuwa na mdahalo wagombea "urahisi" itakuwa vema kama ukifanyika na tuwaone wagombea wanavyobwabwaja

    ReplyDelete
  3. Huyo mganga wa CCM ni kiboko,

    yaani watu wana njaa tupu na bado wanashangilia!!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. Hivi tukienda nchini kwao kwa hawa magabacholi, hata kama watanzania wapo wana-uraia, Je wanakubaliwa kushika uongozi kama ambavyo wao wanatamba hapa?

    ReplyDelete
  5. kwa kweli inatia huruma hawa watanzania walivyojazana hapo ni ishara kwamba wana matarajio ya hali zao za maisha kubadilika baada ya uchaguzi!!!!kumbe lol miaka mitano ijayo bado watakuwa na hali hiyohiyo!!!!VIONGOZI TUWE WAKWELI NA TUMWOGOPE MUNGU..

    ReplyDelete
  6. Wewe mdau unaetaka mdahalo wa wagombea wa urais unatafuta balaa. Mgombea mwenza wa Chadema darasa la saba halafu uje umpambanishe na Dr Bilali (nuclear scientist ) si itakuwa Tyson Vs Oswald Maneno ( mtambo wa gongo ) hata Haji Duni MBA itakuwa kasheshe. Bora tuache Cahdema wattuzie mbuzi kwenye gunia

    ReplyDelete
  7. HUYO KANJI BHAI WA MAROGORO VIJIJINI NI RAIA?MBONA AU MPAKA AKITAKA KUGOMBEA NDIO ATA ULIZWA ALIFIKAJE KILOKA NA KATOKEA WAPI MHHH KIDUMU CHICHIEMU DAIMA MILELE.

    ReplyDelete
  8. RAIS NI MGONJWA.KWELI NIMEAMINI KUWA HII BLOG NI YA CCM

    ReplyDelete
  9. We US blogger nanı hapo umemuona ana njaaa acha dharau wewe!unadhani kuchambisha watu ndo dili huko ulipo!yaanı brain yako is very poor in thinking!

    ReplyDelete
  10. akina mama wote tumchague!
    KIKWETE
    akina baba wote tumchague
    KIKWETE
    Vijana na wazee tumchague
    Kikwete
    Tanzania !
    Jakaya Kikwete

    mistali hiyo juu kila nisikiapo katika wimbo wa JK2010 raha tupu.

    ReplyDelete
  11. Hii sio njaa tu US blogger.Ni matatizo ya kutokuwa na nine to five.Kama nusu ya hawa watu wangekuwa wameajiriwa wasingekuwa hapa.Keep the hope up.

    ReplyDelete
  12. michuzi tatizo ni la kijiografia unapotoka ni wafinyu wa mawazo unapenda sifa kama raisi wako next time mtu wa pwani hakalii hicho kiti na hata wewe mwenyewe ni mshamba tu huna maendeleo yoyote unapenda kulakula ovyo asili ya ulipotoka na hutaendelea kimaisha utabeba kamera mpaka kaburini.
    ccm reading

    ReplyDelete
  13. Ajabu kuwa watu pamoja na kuonekana kuwa wanatabu kubwa lakini bado ccm oooye! basi wacha walizwe tena miaka mingine mitano.

    ReplyDelete
  14. US blogger hana dharau...wana njaa kali!!!!!!!haihitaji ushahidi

    ReplyDelete
  15. hahahaaaaaaa marabuuuu hahahaaaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  16. CCM IMARA!!! haters read that. Hivi kweli slaa ana phd, na kama anayo, hiyo phd ni ya nini????

    ReplyDelete
  17. Chama cha Matusi mpoo! Ndio tupoo, tunatukana watu kwa kwenda mbele na kuwalazimisha watupe KULA watake wasitake na wakikataa tutawaMarine kama Marine Hassan wa TBC!.

    Hiyo ndio kauli yetu na sera yetu. Sera ya Matusi oyee, KuMarine watu oyee!

    Kwa mtaji huu CCM lazima ishinde ushindi wa JISHINDO Kubwaa!

    Sasa nikuulizeni mkishatutukana sisi waswahili wa Pwani ndio mtapata kura? Kweli ustaarabu kazi njooni Pwani tuwafunze lugha nzuri ya kuwasiliana na watu, muondoe hizo arrogance zenu mlizozipata baada ya kujua ABC, mtu unaweza ukawa umesoma ABC lakini bado huna etiquette za kuongea mbele ya kadamnasi. Eti mnaomba kura kwa lugha ya matusi? Mnaonyesha jinsi mlivyo DESPERATE kweli kweli, poleni mwe njaa za madaraka zitawafikisha pabaya!

    Mmeula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua. Rudini tena kozi mjifunze na kupiga mswaki kabla ya kuongea na watu msitujie na midomo michafu hata miswaki ya mijiti ipo, na mnaa pia kwetu Pwani imejaa tele, au msukutue na miski!

    Mswahili wa Pwani

    ReplyDelete
  18. Sasa mkimtukana Michuzi ndio watu wataacha kujaa kwenye mikutano ya JK?

    Hata mkiwatukana hao watu ndio matusi yenu yatawafanya watu wamchague Dr Slaa? Hovyooo!

    ReplyDelete
  19. Huyo mwenye kutukana kina michuzi na watu wa pwani ameonyesha tabia yake ilivyo,mimi nadhani kati ya yeye na hao anaowatukana ni bora hao anaowatukana mara mia kuliko yeye aliyekosa ustaarabu,na kweli huyo inabidi arudi shule afundishwe ustaarabu,maana elimu ya darsani haijamsaidia chochote polee zako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...