
.jpg)

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe hadi wadhungu wanashabikia chichiem. Katika picha ya nane au ndiyo ili mradi.
ReplyDeleteJe tutakuwa na mdahalo wagombea "urahisi" itakuwa vema kama ukifanyika na tuwaone wagombea wanavyobwabwaja
ReplyDeleteHuyo mganga wa CCM ni kiboko,
ReplyDeleteyaani watu wana njaa tupu na bado wanashangilia!!!
(US Blogger)
Hivi tukienda nchini kwao kwa hawa magabacholi, hata kama watanzania wapo wana-uraia, Je wanakubaliwa kushika uongozi kama ambavyo wao wanatamba hapa?
ReplyDeletekwa kweli inatia huruma hawa watanzania walivyojazana hapo ni ishara kwamba wana matarajio ya hali zao za maisha kubadilika baada ya uchaguzi!!!!kumbe lol miaka mitano ijayo bado watakuwa na hali hiyohiyo!!!!VIONGOZI TUWE WAKWELI NA TUMWOGOPE MUNGU..
ReplyDeleteWewe mdau unaetaka mdahalo wa wagombea wa urais unatafuta balaa. Mgombea mwenza wa Chadema darasa la saba halafu uje umpambanishe na Dr Bilali (nuclear scientist ) si itakuwa Tyson Vs Oswald Maneno ( mtambo wa gongo ) hata Haji Duni MBA itakuwa kasheshe. Bora tuache Cahdema wattuzie mbuzi kwenye gunia
ReplyDeleteHUYO KANJI BHAI WA MAROGORO VIJIJINI NI RAIA?MBONA AU MPAKA AKITAKA KUGOMBEA NDIO ATA ULIZWA ALIFIKAJE KILOKA NA KATOKEA WAPI MHHH KIDUMU CHICHIEMU DAIMA MILELE.
ReplyDeleteRAIS NI MGONJWA.KWELI NIMEAMINI KUWA HII BLOG NI YA CCM
ReplyDeleteWe US blogger nanı hapo umemuona ana njaaa acha dharau wewe!unadhani kuchambisha watu ndo dili huko ulipo!yaanı brain yako is very poor in thinking!
ReplyDeleteakina mama wote tumchague!
ReplyDeleteKIKWETE
akina baba wote tumchague
KIKWETE
Vijana na wazee tumchague
Kikwete
Tanzania !
Jakaya Kikwete
mistali hiyo juu kila nisikiapo katika wimbo wa JK2010 raha tupu.
Hii sio njaa tu US blogger.Ni matatizo ya kutokuwa na nine to five.Kama nusu ya hawa watu wangekuwa wameajiriwa wasingekuwa hapa.Keep the hope up.
ReplyDeletemichuzi tatizo ni la kijiografia unapotoka ni wafinyu wa mawazo unapenda sifa kama raisi wako next time mtu wa pwani hakalii hicho kiti na hata wewe mwenyewe ni mshamba tu huna maendeleo yoyote unapenda kulakula ovyo asili ya ulipotoka na hutaendelea kimaisha utabeba kamera mpaka kaburini.
ReplyDeleteccm reading
Ajabu kuwa watu pamoja na kuonekana kuwa wanatabu kubwa lakini bado ccm oooye! basi wacha walizwe tena miaka mingine mitano.
ReplyDeleteUS blogger hana dharau...wana njaa kali!!!!!!!haihitaji ushahidi
ReplyDeletehahahaaaaaaa marabuuuu hahahaaaaaaaa!!!
ReplyDeleteCCM IMARA!!! haters read that. Hivi kweli slaa ana phd, na kama anayo, hiyo phd ni ya nini????
ReplyDeleteChama cha Matusi mpoo! Ndio tupoo, tunatukana watu kwa kwenda mbele na kuwalazimisha watupe KULA watake wasitake na wakikataa tutawaMarine kama Marine Hassan wa TBC!.
ReplyDeleteHiyo ndio kauli yetu na sera yetu. Sera ya Matusi oyee, KuMarine watu oyee!
Kwa mtaji huu CCM lazima ishinde ushindi wa JISHINDO Kubwaa!
Sasa nikuulizeni mkishatutukana sisi waswahili wa Pwani ndio mtapata kura? Kweli ustaarabu kazi njooni Pwani tuwafunze lugha nzuri ya kuwasiliana na watu, muondoe hizo arrogance zenu mlizozipata baada ya kujua ABC, mtu unaweza ukawa umesoma ABC lakini bado huna etiquette za kuongea mbele ya kadamnasi. Eti mnaomba kura kwa lugha ya matusi? Mnaonyesha jinsi mlivyo DESPERATE kweli kweli, poleni mwe njaa za madaraka zitawafikisha pabaya!
Mmeula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua. Rudini tena kozi mjifunze na kupiga mswaki kabla ya kuongea na watu msitujie na midomo michafu hata miswaki ya mijiti ipo, na mnaa pia kwetu Pwani imejaa tele, au msukutue na miski!
Mswahili wa Pwani
Sasa mkimtukana Michuzi ndio watu wataacha kujaa kwenye mikutano ya JK?
ReplyDeleteHata mkiwatukana hao watu ndio matusi yenu yatawafanya watu wamchague Dr Slaa? Hovyooo!
Huyo mwenye kutukana kina michuzi na watu wa pwani ameonyesha tabia yake ilivyo,mimi nadhani kati ya yeye na hao anaowatukana ni bora hao anaowatukana mara mia kuliko yeye aliyekosa ustaarabu,na kweli huyo inabidi arudi shule afundishwe ustaarabu,maana elimu ya darsani haijamsaidia chochote polee zako.
ReplyDelete