Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Balozi Juma Mwapachu, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la bonde la ziwa Victoria litakalofanyika jijini Mwanza mapema mwezi Desemba mwaka huu,kwenye mkutano uliofanyika leo katika hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Balozi Juma Mwapachu, akiongea leo hukusu mipango ya kongamano la bonde la ziwa Victoria litakalofanyika mapema mwezi Desemba mwaka huu huko jijini Mwanza.mkutano huu umefanyika leo katika hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.Picha na Woinde Shizza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...