

Bi Harusi Sophia Nkurlu akisindikizwa na Mpambe
wake Sonia kuingia kwenye gari kuelekea kanisani

Ephraim Nkurlu wakati wakiingia kanisani.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mao si ni m-roman catholic? Aisee Mzee Luangisa akiona hii lazma atamtandika chiboko.
ReplyDeleteCongratulations Sophie!! Mungu awajalie maisha mema ya Baraka tele......Mmependeza sana kwakweli.
ReplyDeleteOysterbay-Mkwawa Rd.
this was the best wedding ever...you did it big guys....
ReplyDeleteWenzetu wakristo mmeendelea mchungaji mwanamama mmmmmh haya!
ReplyDeleteWorld class wedding. Well done Sophie and Mao, Congratulations!!
ReplyDeleteMichuzi Jina ni "Mao Luangisa" SIO RWANGISA
ReplyDeleteMao & Sophie, to be honest I thought you guys were married years ago! God Bless you in your marriage. Mfano wa kuigwa. Sophie you look so beautiful! Hope to see you all again soon.
ReplyDeleteHongereni.
ReplyDeleteMmependeza na Mungu awape mafanikio katika maisha yenu ya ndoa.
Hongereni ila tu je dini ya kikristo inaruhusu watu kuishi na kuzaa watoto na baaadae kuoana? Hebu tuelimishane.
ReplyDeleteHii inaitwa kupasha kiporo, but Mao umeleta heshima kwa sofia, you guys have been together for ages, ingawa rafu mmevumiliana sana, ndio maisha hayo. Hongera zenu.
ReplyDeleteHongera sana both of you . As for the haters get your own stuff together and stop posting hate messages . More power to bibi na bwana harusi
ReplyDeleteMao na Sophie Hongereni naona watu wenye vizabina zabina wameshaanza na maswali yao ya ajabu ajabu naomba msiwape attention. Hongereni na furahieni ndoa yenu!! Mungu awalinde na kuwaongoza.
ReplyDeleteDamn Mao, kunguru mjanja, sikutegemea hongera sana. beautiful ordinary girl from Next door. sikutegemea hata kidogo. kumbuka Tambaza hahahaha!. Hongera Mao.
ReplyDeleteWow Hongereni sana, jamani nilipo kua mdogo , mimi na dada zangu tulikua tuna toroka nao nyumbani kwenda kwenye party za pale upanga kwenye flats, tukisingizia tunakwenda kwenye birthday party ili tusikataliwe, walikua wananichukua mimi mtoto ili ionekane ni party za watoto ,nilikua mdogo sana , ila nakumbuka kulikua na kijana mmoja Mzuri jamani ,party zilikua kwao na yeye alikua anaDjaying , nilikua nampenda sana ,alikua anaitwa Mao Lwangisa alikau anaister anaitwa Julieth ,jamani ndio huyu au?
ReplyDeleteCongratulation Mao and Shopie...and nyie hapo juu achane hizo you though this, you thought that ...woooo...stop maneno hapa...grow up guys..Better late than never....Acheni longo longo na muache kumkodolea mambo...Now is official ....
ReplyDeleteWewe Chemi che Mponda, wewe uliolewa on the spot? unataka tuvute faili lako ? Hongera Mao bwana,
ReplyDeleteMao& Sophie, hongereni sana, that was wonderful and good step in life.
ReplyDeleteKaneza umependeza jamani
ReplyDeletesiwajui hawa maharusi, inaboa sana limtu linakaa na kutangazia mambo ya watu, kwani wamewaomba muwanenee huo upuuzi wenu, hivi watu hamkui?? angekuwa dada'ko au kaka'ko ungeleta huu utumbo humu? hivi kwa nini watu mmekosa utu na kujawa na roho za kwa nini na wivu?? kwani ukisema hongereni mmependeza mungu awabariki, mtampungua kitu gani?? ndo maana wengi wenu humu ndani hamna mafanikio stress zenu ni kuja humu na kumwaga radhi ovyo sana, hongereni sana maharusi hayawi hayawi sasa yamekua.
ReplyDeleteTambaza boy asenti maana hata mie DaChemi amenikwaza kama anawajua sana awaulize kwa simu sio hapa kwa kweli umechemsha sijui proffesionalism au friendshiplism hakuna hapo i didnt expect that from you Chemi
ReplyDeleteChemi hata mimi umenikwaza. if they are getting married now obviously they were not married yet, common sense ha. u should have stayed anonymous....
ReplyDeleteSioni ubaya wowote wa CHemponda alivyo sema. Yeye ndio amewapa kama a complement kwamba ,alivyo wafahamu kwa kuonana nao happiness waliyo kua nayo muda wote alidhani wamesha oana, hilo ni sifa kubwa kwa bwana harusi na bibi harusi , acheni jamani kufikiria kinegative muda wote.
ReplyDeleteSio watu wote wanaofikira ndoa ndio jibu la furaha na amani katika uhusiano , so kusema kama dada huyu hakua ameolewa na alikua anaishi na mpenzi wake bila ndoa haina maana ni jambo la aibu kwa watu wengine , kikubwa ni furaha waliyo nayo .
Sasa Chemi kakosea nini? au ilikuwa ni siri kuwa walikuwa wakiishi pamoja kabla ya ndoa? mbona hicho ni kitu cha kawaida miaka hii? hongereni maharusi
ReplyDeleteThis is U.S. If they had kids before marriage so what? Stop being hypocrits here. The same people talking shit here are the same people with a bunch of kids with a bunch of baby mamas, paying child support here and there. The bottom line is, they got married. So you haters keep your muthafucken mouths shut.
ReplyDeleteHongera sana Mao na Sophie. Mungu awazidishie baraka kwenye ndoa yenu. Nimewafurahia sana. Yaani hao watoto ni blessings sana tena sana. Pia bibi harusi hana pressure eti utazaa lini? Ye keshaonyesha matunda and that is a plus. Na kukaa pamoja kwenye ndoa kuna ubaya gani unadhani huku utapanga tu na mtu yeyote? Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wameishi wote wamesidiana na wameoana tena hongera sana. Kusema kweli ni furaha sana watoto kuhudhuria ndoa ya wazazi wao. Yaani natamani sana ningekuwepo wazazi wangu walipokuwa wanaoana. Hivyo Mungu ibariki ndoa ya Mao na Sophie !wabariki watoto wao pamoja na familia yao ! Wabariki wabariki Sophie na Mao wabariki Sophie na Mao! na familia zao.
ReplyDeleteafadhali amemuoa mama wa watoto wake, kuna maplayer watanzania kibao marekani hapa wamewakimbia watoto wao na baby mama wao, natamani kuwataja majina lakini michu atabania
ReplyDeletearusi ilikuwa nzuri kwa kweli ila wanaume wengi hawakuja na wake zao, ni kwa nini?
ReplyDeleteWe Anon wa hapo juu we peke yako ndio umeyaona hayo mie nimeona couples kibao kila mtu na mkewe na masingle kibao wengine wameleta magirlfriends so sikuelewi. Kwa kweli kazi ulikuwa nayo wenzio twasherehekea harusi mwenzetu wahesabu watu wasiokuwa na wake zao? Mmm mbona mambo.
ReplyDeleteCongratulations to Mao and Sophie. I admire your decision and it is all good. It is sad to see those negative postings. Je ni sisi Wabongo tulivyo? kukandia mafanikio ya wenzetu?
ReplyDelete