MAREHEMU DR. MWATANGA IDD GUNZARETH

MAMA YETU MPENDWA TAREHE 14/9/2010 ANAKUWA AMETIMIZA MIAKA MITANO (5) TOKEA AFARIKI DUNIA TAREHE 14/9/2005

MAMA TUNAKUKUMBUKA SANA KWA UPENDO WAKO, FADHILA ZAKO NA UCHESHI WAKO ULIO KUWA NAO NA KUTUPATIA WAKATI WA UHAI WAKO.

MAMA UNAKUMBUKWA ZAIDI NA WOTOTO WAKO, WAJUKUU ZAKO, WAKWE ZAKO, NDUGU ZAKO, JAMAA NA MARAFIKI ZAKO WOTE.

MAMA SISI TULIKUPENDA SANA, LAKINI MWENYEZI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI.

MAMA YETU MPENDWA TUNAZIDI KUKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. R.I.P DR GUNZARETH

    ReplyDelete
  2. R.I.P DR. GUNZARETH

    ReplyDelete
  3. Mama yetu mpendwa ulale mahala pema peponi AMEN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...