ILIKUWA SIKU MIEZI NA HATIMAE LEO TAREHE 19/09/2010 NI MWAKA MMOJA TANGU BABA YETU KIPENZI UMETUTOKA,MAJONZI MENGI UMETUACHIA ILA KWASABABU HAYO YOTE NI MAPENZI YA MUNGU HATUNA BUDI KUMSHUKURU KWA KILA JAMBO.
BABA PAMOJA NA KWAMBA HAUPO NASI KIMWILI ILA UPENDO WAKO,
MALEZI BORA,KUJITOLEA KWA LOLOTE JUU YA FAMILIA YAKO TUTAVIENZI NA KUHAKIKISHA TUNAVIRITHISHA KWA FAMILIA ZETU.
BABA HATUTACHOKA KUKUOMBEA!!!!!
MSALIMIE MAMA MWAMBIE PAMOJA NA KWAMBA HATUPO NANYI KIMWILI ILA KAMWE HATUTOUSAHAU UPENDO MLIOKUWA NAO KWETU.MNAKUMBUKWA NA WATOTO WENU NA FAMILIA ZAO;PROSPER J. TENGA (SEKAO),ANTONIA J. TENGA,
VENERANDA J. TENGA,CRESSILDER J. TENGA,FLORAH J. TENGA,MATILDER J. TENGA,GREGORY J. TENGA,GEOFREY J. TENGA,CALIST J. TENGA,WAKWE ZAKO,WAJUKUU NA VITUKUUU WANAWAKUMBUKA.
WOTE KWA PAMOJA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI,MAJIRANI WANAKUOMBEENI ROHO ZENU ZIPATE REHEMA KWA MUNGU NA PUMZIKO LA MILELE LIWAANGAZIE.AMINA!!
BWANA ALITOA BWANA ALITWAA,
JINA LA BWANA LIHIDIMIWE
Mzee Tenga tunakukumbuka sana kwa ukarimu wako pale Mnini.....Mungu akulaze mahala pema Peponi,...Tulikupenda ila Mungu akakupenda zaidi.
ReplyDeleteBernard Massao Family