Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkabidhi Mwanafunzi Anyelwisye Mwakibinga cheti cha kutambuliwa kama kiongozi bora wa Scout katika shule ya JKT Jitegemee kwenye mahafali ya 26 ya kidato cha nne shuleni hapo, wanaoshuhudia kulia ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo Meja Michael Mtenjele na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule Raymond Mpazi.
Home
Unlabelled
vodacom yatoa vyeti vya scout bora katika shule ya sekondari jitegemee jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bora enzi zetu za kina masawe tulikuwa tuna valishwa vikaputula !! kweli mmeendelea . Jitegemee i love you .
ReplyDeleteVery smart!!
ReplyDeleteAaa Jiteute mnanikumbusha mbali sana wadau wa 1998-2002 mpoooooooooooooo
ReplyDelete