Ankal pole na kazi za kuelimisha jamii
Tunaomba utuwekee katika globe yako ili labda maombi yetu yatasikika na wahusika.
Sisi tulikuwa wanafunzi wa chuo cha elimu ya biashara CBE Dar es Salaam tumemaliza mwaka 2006 wengine mwaka 2007 na tulifaulu katika masomo tuliochukuwa.
Ajabu mpaka leo huu mwaka wa tatu hatujapata vyeti vyetu na kila kukicha ni sababu tuu, mara printer hajapatikana, mara vinachapishwa nje ya nchi ili mradi siku na miaka inakwenda.
Hii inatupa shida hata tunapoomba kazi au kuomba masomo ya juu kwenye vyuo vingine iwe ndani au nje ya nchi wanakuwa na wasiwasi kama kweli tulisoma hapo maana tunatumia transcript ambazo wengine hawazikubali na hata iwapo unatakiwa upande cheo mwajiri anasema lete cheti chako kama huna unabaki palepale ulivoajiriwa na cheti cha awali hii inatupa matatizo makubwa, na vyuo vingine tulivosoma ni ndani ya mwaka mmoja unapata cheti chako iweje chuo kikubwa na kikongwe kiwe na mlolongo wa sababu?
WADAU

MDAU UNALOLISEMA NI KWELI KABISA ...HATA IJMC-UDSM PALE NAPO PANA HIYO SOO...HATA UKIWAANDIKIA KUWA UNAHITAJI VYETI VYAKO HAWAKUPI,ACHILIA MBALI KUJIBU EMAILS AU SIMU? SIJUI NINI MAANA YA MAWASILIANO KWAO?
ReplyDeleteINASHANGAZA SANA , JAMANI KILEO HIKI SIJUI KITAWAFIKIA LINI?
MDAU
NYIE NAWASI WASI HAMKUMALIZA ADA NDO MANA
ReplyDeletejamani michuzi atajibu nini sasa? komaeni na hiko chuoo
ReplyDeleteshitaki mahakamani
ReplyDeleteKuna mdau hapo juu kachangia kuhusu iyo mada hapo juu kama hatukumaliza ada iyo si kweli kwani huwezi pata transcript iwapo hujamaliza ada na bank slip,pamoja na risiti tulizolipia ada miaka mitatu zote tunazo sasa kwanini tusumbuliwe kwa gharama ambazo tayari tumeshalipa mda mrefu???????????????
ReplyDeleteNDO TATIZO LA KWENDA VYUO VYA JAMII HIYO, HATA NYIE NI WAKULAUMIWA KWA UZEMBE WA KUTOPATA SIFA ZA KUWAPELEKA VYUO VINGINE KAMA MZUMBE AU UD.
ReplyDeleteMDAU ULILOLISEMA NI KWLEI KABISA, SIO UPANDE WA CHETI TUU HICHO CHUO NI WASUMBUFU SANA, KWA MFANO WAKITOA MATOKEO YA MTIHANI UNAWEZA KUKUPA UMEPASS THEN AFTER 2DAYS UNASHANGAA MAJIBU YANABADILISHWA UNAAMBIWA UNA SUPPLIMENTARY MBILI AU TATU NA MFANO MWANZONI MTU ALIKUWA DISCONTINUED UNAAMBIWA ANASUPPLIMENTARY MBILI AU AMECLEAR, PLEASE JIREKEBISHENI HICHO CHUO KWANI KINAKATISHA TAMAA SANA.

ReplyDeletelol nilisoma hapo CBE ni chuo cha Rushwa na imefika wakati viongozi wa Elimu za juu wainuke maana ni mabingwa wa Rushwa na walimu wao kwa ngono icho ndio chakula, kwa kweli sio ni wababaishaji halafu eti mkuu wa ni Dr inachekesha hii,
ReplyDeleteKAMA KUNA MTU ANATAKA CHETI WASILIANA NA MIMI KWA 0688 398 740..,UTAPATA MAELEKEZO YOTE.
ReplyDeleteYaani wangekuwa smart mambo yangeenda jamani lakini wale pale upande wa admin -- naona utaratibu mzima ni zero. eti mara imepanda mara imeshuka mara body haijakaa mara kile yaani ili mradi tu wamesema na wanapoteza malengo ya watoto wa watanzania wenzao, pls napenda kusema mkuu badilisha system nzima. mambo yseende kizungu
ReplyDeletePoleni sana. Ila kuna tatizo kubwa sana la uongozi katika vyuo vyetu kwa kweli, hata katika maeneo mbali mbali ya sekta ya huduma. Viongozi hawana to-do lists, na hizo walizonazo hawajazi-prioritize. Hawafikirii wangekuwa wao ndio wanatendewa hayo wangejisikiaje. Na tatizo katika ngazi hii linaashiria tatizo kubwa zaidi katika ngazi ya juu. Juzi nimeenda UDSM kitendo cha ujasiriamali, wala hapakuwa na receptionist yeyote na ilikuwa saa ya kazi. Nikagonga mlango wa mwanzo kuuliza maswali yangu nikaambiwa niende ofisi nyingine, ila kila ofisi niliyoenda waliniambia niende nyingine, niliingia ofisi kama sita, nikashangaa sana kwa uzushi na ubovu wa uongozi uliopo pale hata nikaamua kuondoka tu kwa masikitiko makubwa kwani pale panapaswa kuwa jikoni kumbe hakuna kitu.
ReplyDelete