Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu waziri wa Idara inayoshughulikia Misaada ya Kimataifa ya Uingereza DFID, Bw. Stephen Brian kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaa, Septemba 14, 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba sana uwe makini kwenye kuandika majina ya watu. Katika Diplomacy ni tusi kukosea kuandika jina la mtu..Huyo ni Waziri anaitwa Stephen O'Brien na sio Brian....Pls be careful on that.
    Good Day

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...