Home
Unlabelled
mahafali ya wahitimu wa darasa la saba shule ya st. thomas arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmmmmmmmmmh mwanamke kujipodoa !! kazi kweli kweli
ReplyDeleteI know hiyo picha yake imetoka kama ghost....HD hizo zinafanya kazi ki sawaswa
ReplyDeleteSt. Thomas ada yenu iko juu tofauti na huduma mnayotoa.Kutokana na ada kuwa juu tunategemea kupata huduma nzuri. walimu hawafuatilii maendeleo ya wanafunzi wanaweka msisitizo zaidi kwa darasa la sita na saba, badala ya kuweka msingi toka chini. pia waalimu wengi hawajiamini wanaogopa uongozi wa shule hiyo inawawia vigumu wazazi kufikisha malalamiko yao. pesa tunaipata kwa taabu kwahiyo tusaidiane wote wazazi na waalimu vinginevyo tutahamisha watoto sababu mko zaidi kibiashara utu unakuwa nyuma. mtoto kama haelewi tuition! tena si chini ya 50,000 kwa mwezi. mwanafunzi anaweza asifanye home work na mwalimu afuatilii mzazi akiona na kuwaambia wanafuatilia kwa siku chache then mambo yanarudi palepale. sijui qualifications za walimu hawa labda tuanze kufuatilia vyeti isije wakawa wanaleta wakenya tu wasio na qualification eti sababu wanaongea English pia ninawasiwasi na walimu watanzania sidhani kama wako qualified! inawezekana ni wachache wenye taaluma hiyo au hawalipwi vizuri. Makongoro angalia usije ukaharibiwa shule fuatilia kila kitu sio ada tu, kuanzia waalimu, wanafunzi na huduma nyingine.
ReplyDeleteKilichonifurahisha ni watoto kutokuvishwa majoho kama vile wamemaliza chuo kikuu.
ReplyDeleteHapo juu nimekuelewa kidogo lakini unaposema mtoto hafanyi homework na wao hawafuatilii hivi nani wa kumsaidia mtoto kufnya homework? Wewe uko wapi? Nyie mnazania money is everything ati kwa vile unalipa 50,000 per months basi kila kitu unamwachia mwalimu afanye. Ni wajibu wako kufuatilia mambo ya mtoto wako na maendeleo yake. hakikisha anafanya homework na sio kucheza game all the time na kutegemea mwalimu atafuatilia.
ReplyDeleteHuku niliko shu;le ya mwanangu inacost $4800 na hapo yupo 2nd grade na kila kitu ni kufuatilia tu. hamna cha kukaa chini na kuwaachia walimu. Progress za mwanao ni wajibu wako wao na pia ukumbuke mwalimu ni the second teacher wewe ndi the first teacher na unatakiwa uwajibike sana kuliko huyo unayemlipa... Ni hayo tu
Mmmmhhh hiyo shule bado ya kilokole? kuna mwaka mwanafunzi wa dhehebu lingine alivaa msalaba kwa imani yake matron akamwambia ni mchawi kavaa hirizi nasikia mzazi wa huyo mtoto aliwafuata shuleni na wakamficha huyo matron kama bado wana mambo ya ulokole waache vinginevyo wasipokee wanafunzi toka madhehebu mengine
ReplyDelete